Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,453
- 34,010
Mwafrika...Mzee Mohammed, si kawaida yako ukazuka mjadala wa Bakwata kama huu kuhusu kusimamishwa uongozi Sheikh Walid na wewe usitie neno.
Kwa nini Taasisi ambayo imepuuzwa na Waislam kujitokeze kundi kubwa la Waislam likilalamika kwa nini Kiongozi wao wa Mkoa ameondolewa (hapa sizumngumzii tuhuma bianafsi za aliyeondolewa, natazama ni kwa namna gani Tasisisi inayotajwa kupuuzwa lakini kuna Watu wengi tu wakizungumza jambo la kiuongozi la taasisi hiyo)!Mwafrika...
Kweli huzungumza sana kuhusu historia ya BAKWATA.
Hili nimekuwa kimya kwa ajili ya jambo lenyewe lilivyokuwa jinsi lilivyozungumzwa na watu wengi.
Niliona itakuwa bora kwangu kuwa kimya.