jijini mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kizibo

    Natafuta connection ya maduka ya jumla ya liberty jijini Mwanza

    Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe. Natanguliza shukrani wakuu
  2. Mjanja M1

    PreGE2025 Dkt. Slaa athibitisha kushiriki maandamano ya CHADEMA jijini Mwanza

    Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa. Taarifa hiyo imetolewa jana Jumanne Februari 13, 2024 na Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia...
  3. K

    Kama upatikanaji wa maji usiporidhisha jijini Mwanza na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine

    Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
  4. Kizibo

    Natafuta wauza nafaka kwa jumla jijini Mwanza

    Habari za mchana wakuu. Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza. Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k Nataka wawe wananitumia mzigo kwa njia ya meli. Asante. Halafu moderators mbona mnafuta sana nyuzi...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023. Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  6. Mwizukulu mgikuru

    House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  7. Dr Akili

    Je, sababu ya uhaba wa maji kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo jijini Mwanza, nayo ni ukame wa ziwa Victoria?

    Kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo, jiji la Mwanza limekuwa na uhaba mkubwa wa maji unao ongezaka kila kukicha. Chanzo chake cha maji ni Ziwa Victoria. Sababu zinazotolewa ni pamoja na ukame ulioikumba nchi nzima kuanzia kipindi cha kiangazi. Ni kweli kwamba Ziwa Victoria nalo zamu hii...
  8. M

    KWELI Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
  9. K

    Tunaomba turudishiwe fedha zetu za maombi kutokana na ugawaji wa viwanja kwa upendeleo jijini Mwanza

    Ni masikitiko makubwa kuona upendeleo wa dhahiri wa ugawaji wa viwanja katika Jiji la Mwanza. Wote tulitangaziwa kuomba viwanja hivyo kwa ada ya Tshs.20,000 kwa kila kiwanja lakini cha kusikitisha waliopata viwanja ni vigogo ambao hata hawakufika kuchukua fomu na kuzijaza. Hivi ni kweli mtu...
  10. Nyuki Mdogo

    Plot4Sale Kiwanja jijini Mwanza kwa laki 6 tu

    Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna Size: hatua 18 kwa 16 za miguu Mawasiliano: 0713096076 Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa Huduma za kijamii zote zipo senta ya nyanama Mawe, mchanga simenti nondo vyote vipo senta ya karibu...
  11. N

    Nyumba ya kupanga (vyumba vinne self contained) inahitajika jijini Mwanza

    Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka. Sifa: 1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana) 2. Hali nzuri 3. Usalama/fence 4. Inafikika bila changamoto 5. Parking ya gari 2 na kuendelea Mawasiliano piga 0769746211 Isiwe na dalali
  12. Nyuki Mdogo

    INAUZWA Jijini Mwanza: Mfalme zuma anauza pikipiki yake King Lion 1,800,000

    Pikipiki ni King Lion Cc 150 Gia 5 ametembea mwaka mmoja Hana shida yoyote njoo na hela yako tu Engine nzima kabisa 1,800,000 Nipo Nae machinjioni hapa 0713096076
  13. Ramon Abbas

    Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

    Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile. serikali inamlinda sana. Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
  14. Ramon Abbas

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Igoma jijini Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza. size ni 30*25 ft kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza. Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia. Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho. Bei 6 million mawasiliano 0713096076 0713096076
  15. Ramon Abbas

    Plot4Sale Ukihitaji kiwanja/shamba Jijini Mwanza usisite kunitafuta

    Habari JF? Mimi nahusika na kutafutia watu viwanja na mashamba, nawaunganisha na wauzaji kwa bei nafuu kabisa. Kwa sasa nina kiwanja maeneo ya kisesa karibu na round about ya usagara, mita 200 kutoka lami. Size yake ni 25*30 Miundo mbini yote ipo, umeme na maji yapo karibu Bei yake ni...
  16. Ramon Abbas

    INAUZWA Bajaj ya Abiria Inauzwa, Jijini Mwanza

    Bajaj Hii inauzwa. Bajaj inafanya kazi vizuri haina Shida yoyote. Haina tatizo lolote la kiufundi Haidaiwi. Engine nzima kabisa. Karibu Kijereshi, Ukague mzigo Bei: 5million mawasiliano: 0713096076
  17. Grand Canyon

    Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  18. vnn

    Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

    Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini, Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze? Tukale...
  19. K

    Ushauri wangu Kuhusu Machinga Jijini Mwanza

    Wamachinga ni wafanyabiashara wadogo wadogo wanaotafuta riziki zao kama wafanyabiashara wengine. Wana familia, watoto, wajukuu ndugu n.k. Wamachinga wanashiriki pia katika kukuza uchumi wa nchi na hivyo wasipuuzwe. Katika siku za karibuni kumetolewa tangazo kuwa Wamachinga wanaopanga bidhaa...
  20. msovero

    Wanafunzi zaidi ya 600 wanasomea chini jijini Mwanza

    Zaidi ya wanafunzi 600 katika shule za msingi mbili za Kayenze na Chasubi zilizopo kata ya Kayenze halmashauri ya Ilemela wanasoma wakiwa chini kutokana na ukosefu wa madawati. Aidha, changamoto nyingine inayotajwa katika shule zote mbili ni upungufu wa walimu ambapo jumla ya wanafunzi ni 3100...
Back
Top Bottom