jiji la dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2

    Wakandarasi wa barabara (Nyanza Roadworks) hawafukii mashimo walipochukua vifusi, maeneo ya Iyumbu, Block C, Dodoma na kusababisha HATARI

    Habari, Tunaomba ushauri ili tupate msaada kutoka kwa mamlaka husika. Mimi ni mmoja wa wakazi wa Block C, Iyumbu West, Dodoma. Tuna changamoto ya mashimo / makorongo makubwa yaliyochimbwa na kampuni ya Nyanza Roadworks wakitafuta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara, na mpaka sasa...
  2. luangalila

    Uongozi wa Jiji la Dodoma tambueni mnatesa abiria wageni

    Kitendo cha uongozi wa Jiji la Dodoma kukataza mabasi yenye ofisi eneo la CBE kutopakia abiria eneo lile hakika huku ni kuumiza na kutesa wageni natoa sababu zangu ambazo kimsingi ni za kiubinadamu tu. Unakuta mtu amefikia Lodge za hayo maeneo ya CBE au pale mitaa ya Chaduru (mkabala na...
  3. U

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma linaongoza kwa Rushwa. No money no service!

    Hili Jiji la Dodoma na halmashauri yake ni moja ya sehemu iliyojaa Rushwa iliyokithiri viwango vya kawaida vya kupeana maji ya kunywa kishkaji, ni Jiji la hovyo likiongozwa na Mkurugenzi wake asiyejali kitu chochote, haya ni baadhi 1. Hupati hati bila kutoa rushwa, waje hao wachache Viongozi...
  4. King Rabbit

    Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  5. BARD AI

    Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu

    Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19. Mapema mwezi huu, gazeti hili liliibua sintofahamu ya miili 19 iliyokuwa imekosa ndugu hivyo kutakiwa kuzikwa kwa mujibu...
  6. B

    Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  7. T

    Jeshi la Polisi Jiji la Dodoma mjitathimini, mauaji kata ya Ihumwa na Mtumba yamezidi

    Ni muda mrefu sasa tangu mwaka Jana mpaka mpaka Sasa hivi.Hali ya amani sio shwari Kwa wakazi wa ihumwa , mtumba na mahoma. Jinsia ya kike mabinti na akina mama ndio wahanga wakubwa wa mauaji haya. Jua likizama tu akina dada na mama zetu inawalazimu kubakia ndani kama wafungwa hata dukani au...
  8. John Haramba

    Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

    Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022. Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo...
  9. U

    Serikali ya jiji la Dodoma Ondoeni Machinga barabara ya One way na barabara ya Nyerere square

    Ukienda Ulaya hata Asia nchi nyingi, Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la Dodoma nawaasa muwaondoe Hawa...
  10. cpb

    Uber Jiji la dodoma

    Ninaomba kwa wale wanafanya biashara ya uber/ bolt au taxi mnisaidie mawazo nina gari yangu aina ya Raumu nataka nkafanye biashara hyo Jiji la Dodoma nipeni ushauri nini nifanye changamoto Ili nipate mwanga Nakaribisha mawazo yenu
  11. Lord denning

    Rais Samia, usipoteze dhumuni la kuifanya Dodoma kuwa jiji la mfano kimpangilio

    Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa! Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma! Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa...
  12. chazachaza

    Idara ya Ardhi Jiji la Dodoma, wiki ya 3 hakuna printer wala wino -- kulikoni?

    Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Nyinyi watu wa ardhi jiji la Dodoma, kiukweli mnatupa tabu wateja wenu, nimefika hapa ofisini kwenu kufuatilia hati yangu nina mwaka wa 2 huu tangu mwaka 2019, hadi leo hati bado sijapata. Leo nimefika hapa asubuhi na mapema saa 12 asubuhi, niliona bora...
Back
Top Bottom