Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19.
Mapema mwezi huu, gazeti hili liliibua sintofahamu ya miili 19 iliyokuwa imekosa ndugu hivyo kutakiwa kuzikwa kwa mujibu...
Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
Ni muda mrefu sasa tangu mwaka Jana mpaka mpaka Sasa hivi.Hali ya amani sio shwari Kwa wakazi wa ihumwa , mtumba na mahoma.
Jinsia ya kike mabinti na akina mama ndio wahanga wakubwa wa mauaji haya. Jua likizama tu akina dada na mama zetu inawalazimu kubakia ndani kama wafungwa hata dukani au...
Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.
Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo...
Ukienda Ulaya hata Asia nchi nyingi, Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la Dodoma nawaasa muwaondoe Hawa...
Ninaomba kwa wale wanafanya biashara ya uber/ bolt au taxi mnisaidie mawazo nina gari yangu aina ya Raumu nataka nkafanye biashara hyo Jiji la Dodoma nipeni ushauri nini nifanye changamoto Ili nipate mwanga
Nakaribisha mawazo yenu
Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa!
Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma!
Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa...
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
Nyinyi watu wa ardhi jiji la Dodoma, kiukweli mnatupa tabu wateja wenu, nimefika hapa ofisini kwenu kufuatilia hati yangu nina mwaka wa 2 huu tangu mwaka 2019, hadi leo hati bado sijapata. Leo nimefika hapa asubuhi na mapema saa 12 asubuhi, niliona bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.