Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,072
- 2,307
Hello World.
Huu uzi ni special kwa Junior front-end developers au experienced back-end developers ambao wanataka kujifunza mawili matatu kuhusu Front-end designs
Pia, ni special kwa wale wote complete beginners wenye interest ya kujifunza web development
Siku ya leo nita introduce new CSS Framework,ambayo kwa maoni yangu ndio CSS Framework nzuri zaidi baada ya Bootstrap
Tailwindcss vs Bootstrap
Tailwindcss ni utility first Css Framework inayokusaidia ku design simple au Complex UI Components kwa kutumia utilities classes zinazokuwa provided na Tailwindcss framework
Kwa ambao hawako familiar na Framework, Framework kwa lugha rahisi ni mfumo unao ku guide wewe kama Front-end developer katika Projects yako...kwa kawaida Framework huwa
Zinakuja na Tools ambazo zipo tayari kutumika katika Project yako yoyote bila haja ya kuanza kila kitu From the Scratch kama ambavyo unafanya kwenye Plain CSS
So CSS Framework zinaondoa Repetitions ya kuandika styles zilezile kwenye kila project utakayoanza...
Nini maana ya Utility First CSS?
Kama umewahi kutumia Bootstrap , Bootstrap ni Popular CSS Framework kwa ajiri ya ku design Responsive websites(Webpages zinazo fit vizuri kwenye kila aina ya user's devices[simu,tablets,au desktop])
Tofauti kubwa ya Tailwindcss na Bootstrap ni kwamba Bootstrap ni Component First methodology,ukisoma documentation ya bootstrap
Bootstrap 4 Docs
Utakutana na list ya default themes na UI components ambazo unaweza kuzitumia kwenye Projects yako kama Cards,Form,Buttons,Badges,Dropdowns,Inputs group etc
Ubaya wa hii approach ya Components First ni kwamba, utaishia kuwa na Projects hata 100 zinazofanana Designs...kwa sababu zote zinatumia Default themes na Components zinazokuja na Bootstrap
Hapa ndipo Tailwindcss ilipokuja,badala ya kukupa lists ya semantic classes za bootstrap zinazoweka default designs katika projects yako , Tailwindcss inakupa low-level Utilities classes
Utilities Classes ni CSS classes zinazofanya kazi moja tu maalum,yaani utility class moja ina kazi moja tu,tofauti na Semantic au High-level classes za bootstrap zinazofanya kazi nyingi
Illustration:
Hizi ni high level classes kwa ajiri ya blue button kwa kutumia boostrap
Hapo tumetumia classes mbili tu za bootstrap, class ya kwanza ni btn kwa ajiri ya ku add default styles kwa button yetu
Then class ya pili ni btn-primary kwa ajiri ya ku add blue color kwenye button yetu...lakini hizo classes mbili zinafanya kazi kubwa kuliko nilizozitaja hapo....bado zita add margin,padding,rounded corners na color ya text na on hover state katika button yako out of box!!....ni jambo zuri kwa kuwa zinarahisisha kazi lakini zinaweka ugumu kwenye ku customize hii button
Hizi ni low level utilities classess kwa ajiri ya button kwa kutumia Tailwindcss
:Demo & source code
This time tuna utilities classes sita,tofauti na boostrap semantic classes,kila utility classses hapa ina kazi yake
so tunaweza ku change mng'ao au wa rangi yetu from 0 to 900,tofauti na btn-primary class ya bootstrap ambayo haikupi control ya ku change intensity ya rangi katika button
Tofauti na bootstrap classes ambazo zinakuja na default design yake,that is hatuna uwezo wa kuchange background color pindi cursor inapokuwa juu ya button yetu
kama tumetumia bootstrap classes ,katika case ya tailwindss utilities classes tunaweza
Kwa mfano tukitaka background color iwe ya orange badala ya blue on hover,tunachange color na intensity tu
Eg.hover:bg-orange-600
Kitu kizuri kuhusu Tailwindcss unaweza hisi kuwa kwa kuwa tumetumia classes sita katika Tailwindcss na mbili tu kwa Bootstrap basi File size ya Tailwindcss itakua kubwa kuliko File size ya Bootstrap,ukweli ni vice versa
Itaendelea...
+255748333586

<button class="btn btn-primary">Submit</button>

<button class="bg-blue-600 hover:bg-blue-600 text-white py-2 px-2 rounded">Submit</button>]
:Demo & source code
This time tuna utilities classes sita,tofauti na boostrap semantic classes,kila utility classses hapa ina kazi yake
bg-blue-600 ni utility class inayo add blue background color kwenye button yetu,600 ina stands for intensity ya background color yetu
so tunaweza ku change mng'ao au wa rangi yetu from 0 to 900,tofauti na btn-primary class ya bootstrap ambayo haikupi control ya ku change intensity ya rangi katika button
hover:bg-blue-600 hii utility class kazi yake ni add background color ya blue na intensity ile ile ya 600 pindi cursor inapokuwa juu ya button yetu
Tofauti na bootstrap classes ambazo zinakuja na default design yake,that is hatuna uwezo wa kuchange background color pindi cursor inapokuwa juu ya button yetu
kama tumetumia bootstrap classes ,katika case ya tailwindss utilities classes tunaweza
Kwa mfano tukitaka background color iwe ya orange badala ya blue on hover,tunachange color na intensity tu
Eg.hover:bg-orange-600
text-white ina add color ya text katika button yetu,white color
py-2 ina add padding top na padding down
px-2 pia ina add padding left na padding right
rounded ina add rounded corners katika button yetu