jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. Vincenzo Jr

    Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  2. 5 Nyingi

    Suala la Jezi Zilizo Kamatwa Limeishia Wapi? Waziri Alitudanganya?

    Ni wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7. Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri...
  3. GENTAMYCINE

    Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

    GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC. Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao...
  4. Daydream

    Wiki hii jezi ya Yanga kama vazi la taifa

    Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba. Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha Sijui kama Makolo...
  5. D

    Eti aliyeingiza jezi feki kutoka China analindwa na mtu kutoka juu?

    Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti. Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
  6. N

    Jezi za Yanga leo zimevaliwa hatari

    Salamu ya mjini sasa ni HAMSA Aisee katika watanzania 10 ninaokutana nao 8 wamevaa jezi,za msimu uliopita au msimu huu,katika watu 100 ninaokutana nao mtu mmoja tu kavaa jezi ya simba,na akikutana na watu wa yanga kama anakimbia vile na kuhinamisha kichwa chini. GSM wamepiga pesa sana kwenye...
  7. GENTAMYCINE

    Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

    Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma. Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina (...
  8. Gordian Anduru

    Timu 5 kubwa Afrika zinazodhaminiwa jezi na makampuni makubwa

    AL AHLY (ADIDAS) Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi WYDAD AC(MACRON) Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  10. GENTAMYCINE

    Kwa Mwili ule wa Kimbaumbau wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kumpeleka katika Oparesheni Kamata Jezi ni Kumhatarishia tu Maisha yake

    Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
  11. Mganguzi

    Sakata la jezi feki mhusika anaogopwa ,serikali imeshindwa kumtaja vilabu vimeshindwa kumtaja ,polisi tutajieni huyo mtu ninani?

    Yale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika. Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia, jeshi la polisi hawamtaji analindwa na anafunikwa funikwa. Kuna hatari akabambikiwa mtu mwingine...
  12. Brain Kingdom

    Kocha Robetihno Oliviera fundi jezi no 7 aliecheza na Nyota wa Brazili Zicco timu ya Flamingo ya Brazil

    Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana. Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na timu yoyote. Simba SC imepata bonge la Mwamba katika soka. Wanaobisha YouTube ipo inakutoa...
  13. kavulata

    TFF waliwaza nini kuipa Sandaland tenda ya jezi za timu za taifa?

    Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM. Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za...
  14. S

    Injinia Hersi akikabidhi Jezi ya Yanga kwa Raisi kagame

    Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame . https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo. Zawadi hiyo...
  15. Stephano Mgendanyi

    Shilingi Bilioni 3 Kudhamini Jezi za Timu ya Taifa

    SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
  16. K

    TFF Yaingia Mkataba na Sandaland The Only one Kuhusu Udhamini Wa Jezi

    TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano. Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za...
  17. R

    Kwanini jimbo la Kawe limetoka kupelekewa miradi mikubwa ya maendeleo badala yake linapelekewa jezi za mpira? Tunakwenda wapi kama Taifa?

    Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue Jimbo la kawe ni jimbo la kimkakati katika nchi ambalo lina jamii ya daraja la kwanza. Jimbo kama lile linahitaji zaidi lami...
  18. Blender

    JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  19. The Boss

    Jezi hizi za Simba SC hazina mshindani

    Watu wengi huangalia rangi na vitu vingine... Mimi binafsi napenda jezi iwe na Collar tu na isiwe na marangi rangi sana. Rangi moja yenye collar kwangu huwa jezi isiyo na mshindani. Simba hatimae wametoa jezi kama walikuwa kichwani kwangu.
  20. Shark

    Mnada wa Jezi Tano za Simba Sport Club umefanyika. Jezi ya Rais Samia yauzwa milioni 10

    Jezi ya Rais wa Heshima wa klabu, Mohamed Dewji 'Mo' imeuzwa Sh. 2,000,000 na Duka la Vifaa la Michezo la Romario Sports katika mnada unaoendelea katika Ofisi za Azam TV ikiwa ni ahadi tuliyoitoa kabla ya kupelewa kilele cha Mlima Kilimanjaro Julai 21, 2023. Jezi ya Rais wa Zanzibar na...
Back
Top Bottom