Anayeuza jezi za Mamelodi Sundowns ajitokeze tuzinunue sisi mashabiki

serikali imekataa katakata,wanataka Simba na Yanga zisifanyiane hujuma zote zipite kwenda nusu ili sifa ziende kwa mama Chilunda.
images.jpeg
 
serikali imekataa katakata,wanataka Simba na Yanga zisifanyiane hujuma zote zipite kwenda nusu ili sifa ziende kwa mama Chilunda.
View attachment 2934445
Wapuuzi hawa, timu hazipitiwa kizembe hivyo. Waweke dau kila mchezaji 20m kuongeza hamasa. Ningeona wa maana hata wangenunua tiketi milioni 20 wakagawa au kuruzuku bei ikawa 3,000
 
Back
Top Bottom