Yanga kuvutiwa na jezi ya Al Ahly ni jambo linalofikirisha sana

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,136
7,903
Miaka yote ya nyuma ilikuwa ni mwiko mshabiki wa Yanga kuipenda wala kuonyesha hisia zozote za kuvutiwa na jezi nyekundu kiasi kwamba mashabiki wa Yanga walikuwa wanapata wakati mgumu sana kushabikia timu za Ulaya ambazo nyingi kubwa zinavaa uzi mwekundu.

Sijajua kama haya ni mabadiliko ya tabia nchi ila Yanga ilipokwenda kucheza na Al Ahly hapa juzi kati, viongozi wa Yanga walipokwenda kutembelea makao makuu ya Al Ahly walionekana kuvutiwa sana na jezi zao, yaani walionyesha mahaba ndi ndi ndi na sitashangaa kukuta kuna viongozi ambao walizibusu zile jezi off-camera.

Tuyaache hayo, jambo lililonishangaza ni jinsi walivyokuwa wanazisifia zile jezi huku wamepatwa upofu na ububu wa ghafla kwa kushindwa kuona na kuongelea idadi ya matangazo ya biashara katika zile jezi. Kwa misimu kama miwili hivi zilizuka kejeli kuhusu idadi ya matangazo katika jezi za Simba hadi msemaji wa Yanga akaja na jina ambalo mpaka leo wanalitumia kuikejeli Simba.

Screen Shot 2024-03-11 at 4.27.44 PM.png

Screen Shot 2024-03-11 at 4.15.30 PM.png

Jezi ya Al Ahly ina matangazo zaidi ya moja kifuani achilia mbali logo ya Adidas ambaye ni kit supplier, matangazo mawili tofauti kwenye mikono yote miwili, tangazo karibu na makalio na wakati mwingine wanaweka tangazo sehemu ya jina la mchezaji.

Nangojea Al Ahly waanze kuitwa Makolo.
 
Miaka yote ya nyuma ilikuwa ni mwiko mshabiki wa Yanga kuipenda wala kuonyesha hisia zozote za kuvutiwa na jezi nyekundu kiasi kwamba mashabiki wa Yanga walikuwa wanapata wakati mgumu sana kushabikia timu za Ulaya ambazo nyingi kubwa zinavaa uzi mwekundu.

Sijajua kama haya ni mabadiliko ya tabia nchi ila Yanga ilipokwenda kucheza na Al Ahly hapa juzi kati, viongozi wa Yanga walipokwenda kutembelea makao makuu ya Al Ahly walionekana kuvutiwa sana na jezi zao, yaani walionyesha mahaba ndi ndi ndi na sitashangaa kukuta kuna viongozi ambao walizibusu zile jezi off-camera.

Tuyaache hayo, jambo lililonishangaza ni walivyokuwa wanazisifia zile jezi huku wamepatwa upofu na ububu wa ghafla kwa kushindwa kuona na kuongelea idadi ya matangazo ya biashara katika zile jezi. Kwa misimu kama miwili hivi zilizuka kejeli kuhusu idadi ya matangazo katika jezi za Simba hadi msemaji wa Yanga akaja na jina ambalo mpaka leo wanalitumia kuikejeli Simba.

Tatizo jezi za Simba zimechafuliwa na mo Kila pembe.
 
Hii nayo ni Post? Forum unaelekea ndiko siko
 
Kuna mashabiki wa Simba wengi sana wanavaa yellow ya Mamelody au kaizer achilia mbali Ile ya Brazil Wala si ajabu kwenye mpira
 
Tatizo jezi za Simba zimechafuliwa na mo Kila pembe.
Hiyo jezi ya Al Ahly ina matangazo yasiyopungua 6 na hapo sijahesabu logo ya Adidas. Simba haijawahi kuwa na matangazo 6 katika jezi moja
 
Back
Top Bottom