jeshi

  1. Emmanuel R. Ntobi

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari unavyobinywa na Jeshi la Polisi

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga. Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji

    Bunge la Tanzania limepitisha sheria ya kuifanya Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji ili kuwaongezea nguvu kiutendaji. Hatua hiyo itafanya waziri aweze kuunda kanuni dhidi ya jeshi hilo. Baadhi ya wabunge walisema hatua ya kubalisha idara hiyo kuwa jeshi imechelewa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

    Nimeona sehemu wanasema rais wa Guinea amepinduliwa na wanajeshi waasi na anapelekwa kwenye mahakama ya kijeshi === GUINEA: WANAJESHI WAMPINDUA RAIS Wanajeshi wamefunga mipaka ya Guinea na kufunga anga baada ya kufanya mapinduzi na kutangaza kutoitambua Katiba iliyorekebisha na Rais Alpha...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi. "Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
  5. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  6. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ndilo linalowatengeneza akina "Hamza" hapa nchini

    So far nchi yetu haijaweza kukumbwa na matukio ya moja kwa moja ya ugaidi kama ambavyo imekuwa ikitokea katika nchi nyingine za Africa na kwingineko. Sababu kubwa si nyingine bali ni ile tabia/hali ambayo Watanzania tumejengewa tangu tupate uhuru - uoga wa kutokuhoji (docility) hata pale...
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na tuhuma nyingi kwa kushindwa kuchukuwa hatua stahili na kwa wakati kudhibiti na kuzuia jinai mbalimbali. Mifano michache ni kama ifuatayo: Sakata la mmoja wa wabunge kufanya vitendo vya kishirikina ndani ya ukumbi wa bunge ; Tuhuma kuwa vyombo vya dola...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Nadhani tulikosea kuwakabidhi Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya Hamza

    Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inaweza kuwa kweli marehemu Hamza alikuwa gaidi, lakini ukweli utabaki kuwa kweli. Jeshi la polisi linafanya uonevu mkubwa kwa Watanzania

    Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama. Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika mahakamani lazima apate kipigo na mateso makubwa akiwa chini ya jeshi la polisi. Ni kweli kabisa...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa Hamza washangazwa na uchunguzi wa Polisi

    Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi. Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kwa Umma Toka Jeshi la Polisi Makao Makuu

  12. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Meja Elia Muarabu Muislamu Mwenye Cheo Cha Juu Kwenye Jeshi La Ulinzi la Israel

    Meja Elia Ndiye Muarabu Muislamu aliye na Cheo Juu Ndani ya Jeshi la Ulinzi la Israel ( IDF)
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi Moto ya Jeshi letu la Polisi ni nini?

    Juzi tu hapa nilikuja na uzi wa kuhoji weledi wa Jeshi la Polisi haswa nililenga tukio la kumpiga risasi Mtu aliyenyoosha mikono juu..ingawa baadae naona Mods waliuunganisha uzi ule na uzi uliotangulia. Nimejifunza mengi kupitia baadhi ya comments za Wachangiaji...nimejifunza ya kuwa bado tupo...
  14. Ileje

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa kuhofia yaliyotokea Zambia

    Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika nyadhifa zao na kulinda maslahi yao. Hii inatokana na somo walilolipata kutoka kwa Rais mpya wa Zambia Mh...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnashindwa nini kuwakamata Magaidi wakati Modus Operandi yao ni ile ile miaka na miaka?

    Kitu kimoja cha kutia faraja ni kwamba matukio ya Ugaidi Tanzania yanafanywa kwa njia ile ile kila mwaka. Iwapo jeshi la polisi watakua makini kwenye kuchunguza ama kupeleleza ni rahisi kuwakamata. Tujikumbushe matukio ya Kigaidi yaliyotokea Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kwa uchache...
  16. Duplicate_90

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  17. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania James mbatia afunguka mazito, awashukia vikali Rais Samia na jeshi la polisi

    Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata kauli ya Amir Jeshi Mkuu haiheshimiwi!?? Tanzania tunaenda wapi??. Nasema kwa dhati kabisa kwamba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wana chuki kubwa na Jeshi la Polisi?

    Wanadhulumu raia mali zao? Wanabambikia raia kesi? Wanachukua rushwa kwa nguvu? Wanapiga raia hovyo hovyo? Wananachukua wake za watu kwa nguvu? What' s wrong with PT?
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kujipa jukumu la kuchunguza mauaji ya askari, ni sawaswa na kesi ya nyani kumpa ngedere

    Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
Back
Top Bottom