jeshi

  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Sudan lasema litaachana Siasa baada ya Uchaguzi kufanyika mwaka 2023

    Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litaacha kujishughulisha na Siasa baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 2023 Kamati za Upinzani na Vyama vya Siasa vimekuwa vinatoa wito kwa Jeshi kuacha madaraka, na wamekataa maelewano yoyote yakiwemo makubaliano na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

    Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo. Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nipo mbioni kuishtaki Jamhuri dhidi ya Jeshi (Tanpol), watu wasijulikana na kauli tata za viongozi wetu

    Wanajukwa habari zenu! Naomba niende moja Kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kwa mujibu wa mambo yanavyo kwenda,hususani kwenye kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa upinzani. Kunavitu vimebainika na baadhi ya watu wameanza kusema na kuhoji mambo mengi sana. Kuhusiana na heshma...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tafadhali msituchoshe katika hili na huu 'Unafiki' wenu

    Jeshi la Polisi Nchini limewataka wananchi waliotoa taarifa za kuibiwa simu na kutozwa fedha ili watafutiwe simu zao waende kwa Makamanda wa Polisi Mikoa (RPCs), Wakuu wa Upelelezi (RCOs) au wakuu wa upelelezi Wilaya (OC-CIDs) kwa ajili ya kuchukuwa hatua ili askari hao waliofanya utovu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wamekuwa ni jeshi dhidi ya nani?

    Wakuu Ts nonsense Kwa mtizamo wangu, hii kitu inyoendelea kwenye social media platforms inaweza kuwaletea shida mbeleni wana-CCM! Political strategist waione mapema hii. Wameanza kuwa"brand" wanawake wa nchi hii dhidi ya nani? Je, vijana wa Nchii hii nao wakija na slogan yao sijui itakuwaje...
  6. JamiiForums Tanzania Lifahamu jeshi la Israel na MOSAD

    HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL TANGU 1948 NA VITA VITA KUU ILIZOPIGANA. UTANGULIZI Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea katika utawala wa Kirusi. Kuanzia mwaka 1880...
  7. JamiiForums Tanzania Moshi: IGP Sirro ataka Watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo. IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
  8. JamiiForums Tanzania Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

    Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na Baraza la Kijeshi. Hamdok alirejeshwa Madarakani baada ya kusaini Makubaliano na Jenerali Abdel...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

    Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
  10. JamiiForums Tanzania Sudan: Jeshi lamrejeshea madaraka Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok

    Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa. Chini ya makubaliano yaliyosainiwa pamoja na Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Hamdok ataongoza Serikali ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye "wananchi hai" jeshi huwa linaufyata

    Jeshi la Sudan lilifanya mapinduzi ya utawala wa kiraia wiki kadhaa zilizopita. Lkn baada ya maandamano yasiyokoma ya wananchi leo hii jeshi limeufyata na kuamua kuurejesha utawala wa kiraia. Nchi ambazo wananchi wake wako hai (active) matumizi ya mabomu na vifaa vingine vya kijeshi huwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dc Iramba afanikisha askari 85 wa jeshi la akiba kupata ajira Suma JKT

    Iramba, Singida. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo Jumatatu Novemba 15, 2021 wakati akifunga mafunzo ya askari wa Jeshi la akiba katika viwanja vya...
  13. JamiiForums Tanzania Sudan: Idadi ya waliouawa tangu Jeshi kuchukua Madaraka wafikia 39 baada ya wengine 15 kuuawa jana

    Vikosi vya usalama nchini Sudan wamewauwa waandamanaji 15 na kuwajeruhi wengine kadhaa baada ya kutumia risasi za moto kuyakabili makundi ya watu waliokusanyika kupinga hatua ya jeshi kunyakua madaraka. Duru kutoka nchini Sudan zinasema waandamanaji wote 15 waliouwawa ni kutoka wilaya za...
  14. JamiiForums Tanzania Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ludewa: Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumbaka nguruwe

    Mkazi wa kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  16. JamiiForums Tanzania Belarus yatumia maharamia kuidhoofisha EU, yatishia kukata gesi inayotumika kupunguza baridi kwenye nchi nyingi za EU, vita yanuka

    Nchi ya Belarus inatmua maharamia kuidhofisha EU ikiwa na lengo la kujaza maharamia wengi sana kwa kuwasaidia kuzamia katika nchi za EU. katika miezi ya hivi karibuni, maelfu ya watu wamesafiri kwenda Belarus kutoka Mashariki ya Kati, Afrika na Asia ili kuzamia Ulaya ya magharibi. maharamia...
  17. JamiiForums Tanzania Amiri Jeshi Mkuu Samia yuko Imara

    Kuna video inasambazwa ikionesha Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuyumba kidogo. Wengi wanaopost video hiyo wanatia chumvi ionekane kwamba Amiri Jeshi Mkuu ana shida ya kiafya. Majibu kutoka Jeshini: 1. Hakuanguka. Kumbukeni pale ndio alikuwa anaingia kwenye shughuli na alionekana akiendelea na kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  19. JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar lavamia hoteli wanayokaa Taifa Stars kwa madai ya kutaka kuwaondoa wachezaji wenye maambukizi ya Corona

    TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Madagascar. Askari walidai wanataka kuwatoa wachezaji wa Taifa...
  20. JamiiForums Tanzania Taaluma za kuheshimika na muhimu ni hizi sita (6) tu

    Si zaidi ya hapo; ni kama ifuatavyo:- 1. Mwalimu Waelimishaji waliohitimu kwa viwango stahiki wanahitajika sana, na ikiwa utahitaji kujenga jamii imara walimu ni kundi muhimu na la lazima. Ili vijana waweze kubadilisha ulimwengu na taifa, basi hii ndiyo taaluma ya muhimu na ya lazima popote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…