Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na Baraza la Kijeshi.

Hamdok alirejeshwa Madarakani baada ya kusaini Makubaliano na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ili kumaliza ghasia zilizodumu kwa wiki kadhaa tangu Mapinduzi.

Mawaziri waliouzulu walikuwa sehemu ya Serikali ya Mpito iliyoongoza na Hamdok na kuvunjwa na al-Burhan Oktoba 25. Maandamao Nchini humo yamepelekea vifo vya takriban watu 41.
===

Twelve cabinet ministers have submitted their resignation to newly reinstated Sudanese Prime Minister Abdalla Hamdok in protest against a political deal between the prime minister and the country’s ruling military council.

On Sunday, Hamdok was reinstated after signing a political agreement with the head of the military council, General Abdel Fattah al-Burhan, to end a weeks-long crisis that threatened to undermine the country’s political transition.

While the deal was largely welcomed by the international community, Sudanese pro-democracy activists have rejected it as an “attempt to legitimise the coup”. They demand that the military should not be part of any future Sudan government.

The resigned ministers were part of a transitional government led by Hamdok that was dissolved on October 25 by al-Burhan. The military’s move sparked nationwide protests during which at least 41 people were killed in a security crackdown.

The resigned ministers on Monday. include the ministers of foreign affairs, justice, agriculture, irrigation, investment and energy, according to a statement issued by the ministers. The ministers of higher education, labour, transport, health, youth and religious affairs also tendered their resignation.

The statement said the five ministers were members of the Forces of Freedom and Change (FFC) coalition, which had shared power with the military before last month’s military takeover, were unable to attend Monday’s cabinet meeting.

Al-Burhan declared a state of emergency and dismissed the transitional government on October 25, amid rival protests and accusations between the military and politicians.

The transitional government comprising of civilians and military figures was formed after a power-sharing deal agreed after the popular overthrow of longtime ruler Omar al-Bashir in 2019.

The 14-point deal between Hamdok and the military also provides for the release of all political prisoners detained during the coup and stipulates that a 2019 constitutional declaration be the basis for a political transition, according to details read out on state television.

Hamdok, who had been under house arrest since the last month’s coup, said in an exclusive interview with Al Jazeera that he signed the agreement as he is driven by the “responsibilities” placed on his shoulders.

“I have made up my mind and signed this political agreement, although I know that many may disagree, object, or reject it simply because the people’s ambitions and aspirations were much higher,” he said.

Source: Al Jazeera
 
Hata wasinge jiuzulu kwa mujibu wa makubaliano waliongia baina ya jeshi na hamduk yanamtaka aunde serikali isiyo ya vyama ( technocrats) na vyama vijiandae na uchaguzi, wamewajibika kisiasa tu hata wasingewajibika ilikuwa ni lazima watolewe.
 
Kinachoendelea sudan ni uhuni tu!!unadhania hata huyo waziri mkuu kwa sasa ataaminika tena kwa wananchi?
Na ndio maana bado maandamano yanaendela ya kumpinga, kuwa amewasaliti wananchi!!!
 
Hana haja ya kuamimiwa na wanachi kwan mwanzo anaingia vile vyama vilivyomchangua vilipewa idhini na wanachi..?
Viliiba maandamano ya wanachi vikafanya majadiliano na wanajeshi baadae vikamchagua hamduk.
Nani alivipa mamlaka hivi vyama je niwananchi..?
Serikali za mpito ndio hivi angalia Libya angalia tchad angalia mali angalia algeria , kinacho hukumu ni MOTO NA CHUMA SIO NGU YA UMMA mpaka uchaguzi ufanyieke hio 2023
 
Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na Baraza la Kijeshi.

Hamdok alirejeshwa Madarakani baada ya kusaini Makubaliano na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ili kumaliza ghasia zilizodumu kwa wiki kadhaa tangu Mapinduzi.

Mawaziri waliouzulu walikuwa sehemu ya Serikali ya Mpito iliyoongoza na Hamdok na kuvunjwa na al-Burhan Oktoba 25. Maandamao Nchini humo yamepelekea vifo vya takriban watu 41.
===

Twelve cabinet ministers have submitted their resignation to newly reinstated Sudanese Prime Minister Abdalla Hamdok in protest against a political deal between the prime minister and the country’s ruling military council.

On Sunday, Hamdok was reinstated after signing a political agreement with the head of the military council, General Abdel Fattah al-Burhan, to end a weeks-long crisis that threatened to undermine the country’s political transition.

While the deal was largely welcomed by the international community, Sudanese pro-democracy activists have rejected it as an “attempt to legitimise the coup”. They demand that the military should not be part of any future Sudan government.

The resigned ministers were part of a transitional government led by Hamdok that was dissolved on October 25 by al-Burhan. The military’s move sparked nationwide protests during which at least 41 people were killed in a security crackdown.

The resigned ministers on Monday. include the ministers of foreign affairs, justice, agriculture, irrigation, investment and energy, according to a statement issued by the ministers. The ministers of higher education, labour, transport, health, youth and religious affairs also tendered their resignation.

The statement said the five ministers were members of the Forces of Freedom and Change (FFC) coalition, which had shared power with the military before last month’s military takeover, were unable to attend Monday’s cabinet meeting.

Al-Burhan declared a state of emergency and dismissed the transitional government on October 25, amid rival protests and accusations between the military and politicians.

The transitional government comprising of civilians and military figures was formed after a power-sharing deal agreed after the popular overthrow of longtime ruler Omar al-Bashir in 2019.

The 14-point deal between Hamdok and the military also provides for the release of all political prisoners detained during the coup and stipulates that a 2019 constitutional declaration be the basis for a political transition, according to details read out on state television.

Hamdok, who had been under house arrest since the last month’s coup, said in an exclusive interview with Al Jazeera that he signed the agreement as he is driven by the “responsibilities” placed on his shoulders.

“I have made up my mind and signed this political agreement, although I know that many may disagree, object, or reject it simply because the people’s ambitions and aspirations were much higher,” he said.

Source: Al Jazeera
Kuna semi inasema "Simba akishaonja nyama ya binadamu kamwe hatoacha kuua watu" kwa miaka mingi jeshi limekuwa privileged na kula asali na maziwa ya Sudani haitakuwa rahisi kuachia nafasi za uongozi. Kitakachotokea ni drama na sanaa za kuweka puppets wao watakaokuwa wanafuata kila wanaloambiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom