Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
Wakuu Ts nonsense
Kwa mtizamo wangu, hii kitu inyoendelea kwenye social media platforms inaweza kuwaletea shida mbeleni wana-CCM!
Political strategist waione mapema hii.
Wameanza kuwa"brand" wanawake wa nchi hii dhidi ya nani?
Je, vijana wa Nchii hii nao wakija na slogan yao sijui itakuwaje? Tutaleta mpasuko mkubwa ndani ya Taifa! Mbona wanawake mshafanya/mnafanya makubwa. Mangapi mmefanya mpaka hayahesabiki.
Hivi tunamtisha nani kwamba wanawake ni Jeshi kubwa? Je, ni Jeshi kubwa DHIDI ya nani? DHIDI ya wanaume, vijana ama Wazee?
Hii itakujaa kuback fire na kuleta shida mbeleni, mwenye jicho la tatu na waone haya!
Sisi tutaendelea kushauri kwa maslahi mapana ya Taifa kama tutapuuzwa sawa Lkn tumetimiza wajibu wetu wa kushauri kwa nchi yetu!
Hii kampeni inaweza kabisa kuwabomoa kuelekea Mwaka 2025.
View attachment 2029186