jeshi

  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Lucy Higgs Nichols

    Lucy Higgs Nichols ni mzaliwa katika utumwa huko Tennessee, lakini wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe alifanikiwa kutoroka na kupata njia yake hadi Kikosi cha 23 cha Wanachama cha Indiana ambacho kilikuwa kimepiga kambi karibu. Alikaa na jeshi na alifanya kazi kama muuguzi wakati wote wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ex. SACP. Jacob Massawe Mwaruanda afariki Dunia

    IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu. Sirro ameeleza taratibu za mazishi za marehemu ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa zinaendelea kwa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, yanayoendelea kwa Jeshi la Polisi siyo dalili nzuri kwako na kwa taifa

    Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu askari polisi kuua raia na wengine kuuana wao kwa wao. Mtwara kule kuna kesi ya askari kuua...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Mtwara ni sampuli tu uonevu wa jeshi la polisi kwa raia, matukio mengi huwa yanafichwa. Mabadiliko makubwa yanatakiwa kwa nchi nzima

    Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti. Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote. Namna...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi ambapo Jeshi limeunda kamati kuchunguza tukio hilo. Rais amesema haiwezekani Jeshi kutuhumiwa kisha liunde kamati ya kujichunguza...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jeshi nchini Burkina Faso latangaza kurejesha Katiba

    Jeshi la Burkina Faso limetangaza kurejesha katiba, wiki moja baada ya kutwaa mamlaka katika taifa la ukanda wa Sahel. Tangazo hilo limetolewa katikati mwa mazungumzo baina yake na wapatanishi wa kimataifa. Waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana ambaye anaongoza ujumbe wa Jumuiya ya kiuchumi ya...
  9. Mayunga234

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

    Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa. Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

  11. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

    Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
  12. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

    Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Luteni Kanali Damiba atoa hotuba ya kwanza kwa taifa, aahidi Jeshi litaimarisha usalama

    Picha: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeongoza Mapinduzi yaliyomtoa Madarakani Rais Roch Kabore ametoa hotuba yake ya kwanza kwa Taifa hilo na kusema Jeshi litakutana na makundi mbalimbali ya Jamii kujadili mchakato wa kufanya mageuzi. Amesema Burkina Faso...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Mawaziri waonywa kutoondoka Mji Mkuu

    Kundi la Wanajeshi lililomtoa madarakani Rais Roch Kabore limewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Kidemokrasia. Wanajeshi walimpindua Rais Kabore wakimlaumu kushindwa kudhibiti hali ya usalama ambayo imeendelea...
  15. Olaigwanani lang

    JamiiForums Tanzania Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

    Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
  16. Mzee nazi

    JamiiForums Tanzania Kama Polisi wameweza kuua na kupora, kwanini tukio la Hamza lisichunguzwe upya?

    Ndugu wadau, kama kweli jeshi letu la polisi limefanya mambo haya, ninashauri iundwe tume ilichunguze hili jeshi. Na pia hata like la Hamza lilikuwa na mtazamo kama huu, pia lingerudishwa lichunguzwe upya
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lampindua Rais Kabore. Lasimamisha Katiba na kuvunja Serikali

    Mbali na kusema Rais Roch Kabore amepinduliwa Jeshi Nchini humo pia limesema Bunge limevunjwa na Mipaka ya Taifa hilo imefungwa. Uamuzi huo umesainiwa na Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba. Jeshi limesisitiza Mapinduzi yamefanyika bila ghasia na watu wanaoshikiliwa wapo sehemu salama...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabeyo: Jeshi libuni miradi kuisaidia Serikali

    MKUU wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo amevitaka vikosi vya jeshi kutumia wataalamu wa ndani kubuni miradi ya kimkakati na kuhimiza uadilifu kwenye miradi iliyokamilika. Mabeyo alisema hayo wakati wa kuzindua kituo cha mafuta cha R971 kilichojengwa na jeshi eneo la Ihumwa. Alisema jeshi kama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi na wananchi tushirikiane kukomesha mauaji yanayoongezeka nchini sasa

    Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia! Mfano wa matukio kwa uchache! I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa! ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

    Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani. Walichoweza , ni...
Back
Top Bottom