Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao.
sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo.
Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa...
Bibi Dorkasi amehoji kauli ya Rais alipokuwa akiongea na Maafisa wa kijeshi Jijini Tanga kwa kulitaka lisichafuea sifa yake kwa kujiingiza kwenye mambo ya siasa, Bi Dorkasi amesema kuwa anayelionya jeshi ndiye aliyeliingiza jeshi kwenye siasa kipindi cha kampeni.
Soma Pia PostGE2025 - Rais...
Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war
KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA...
Wanaukumbi.
Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ..
Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁
Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
Siku chache zilizopita akiwa anahojiwa na Waandishi wa Habari, Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema wazi kuwa kutokana na mwenendo mbovu wa Viongozi wa kisiasa barani Afrika hatoshangaa Mapinduzi ya kijeshi kuendelea kutokea katika Nchi za kiafrika.
Jana akiwa anahutubia Makamanda wa JWTZ, Samia...
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee .
Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
Discovered reserves of the system are
1.6 billion barrels of oil .
59 trillion cubic feet of gas.
More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal.
Aluta kontinua Russia
Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea.
Rai yangu kwenu...
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa...
Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto.
Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
Kila anayevuta kamba anaangalia eneo lake ili ale kwa kutulia ikiwa ndefu.
Mwingine anakwambia 'hujui hasara za kiuchumi Jeshi kuchukua nchi, yaani blah blah ni nyingi sana.
Wajeda wenye akili wanafanya mambo mazuri tena kwa haraka kuinua uchuni na kuijenfa nchi kwa faida ya kila mtu, ila...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine.
“Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...