jeshi

  1. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi La Polisi: Tunaimarisha Zaidi Ulinzi Na Usalama Usiku Huu

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea. Rai yangu kwenu...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sasa turudi kuijenga nchi TRA iwe jeshi usu, hakuna mwananchi wa kukwepa kulipa kodi

    Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi. Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia kila la heri jeshi la polisi kwa kazi wanayoenda kuifanya kesho

    Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Geita: Polisi yawaonya Viongozi wa makundi ya WhatsApp 😄

    Kila kukicha mwisho mtavua nguo sasa. Viongozi wa makundi ya whatsapp mnatakiwa mje kutoa taamko.
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto

    Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto. Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MFANO MZURI: Sababu Mojawapo ni Bora Jeshi Lichukue Nchi

    Kila anayevuta kamba anaangalia eneo lake ili ale kwa kutulia ikiwa ndefu. Mwingine anakwambia 'hujui hasara za kiuchumi Jeshi kuchukua nchi, yaani blah blah ni nyingi sana. Wajeda wenye akili wanafanya mambo mazuri tena kwa haraka kuinua uchuni na kuijenfa nchi kwa faida ya kila mtu, ila...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

    Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani. Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tunaomba Jeshi la Marekani lije kulinda Waandamanaji Desemba 9 kuepuka mauaji mengine ya halaiki

    Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana...
  10. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange alituaminisha kuwa Oktoba 29 kuwa Jeshi na polisi wote wapo kwetu sisi tutoke tu kisha wao wamalize

    Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
  11. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Kuna shida kwenye Jeshi letu

    Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana. Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu. Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa...
  12. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia taarifa hii iliyotolewa na Jeshi la Polisi, itoshekusema kuwa vijana wa Gen Z wanachokitafuta watakipata

    Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na sio waandamanaji wala wazalendo wa Taifa lao Hakuna mzalendo wa Taifa lake anayepigania haki kwa...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

    Wanaukumbi. Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!.. Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa. Yaaani...
  14. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia, umezungumza kama RAIS, AMIRI JESHI na MZALENDO

    Sisemi mengi; Kwa kauli yako mwenyewe umethibitisha kwamba Taifa letu liko imara na hakuna atakayeleta nywinywi,nywinywi wala nywinywinywi. Sasa nafikiri Tuendelee kuijenga nchi. Bila kujali iwapo umeingia kwa njia ya kura halali au haramu wewe ndio Mkuu wa nchi kwa sasa.Hata kama wewe ni...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya CDF Mkunda na jeshi letu linalodhalilika.

    GT CDF... Kutuma jeshi kwenye mission dhaifu ni kulidhalilisha jeshi na kuonesha mapungufu ya sekta ya ulinzi nchini Kutuma jeshi kwenye kuzuia maandamano na wanaandamanaji wenye mawe ni udhaifu Kutuma jeshi kwa lengo la kutisha waandamanaji ambao ni vijana wasio na siraha ya moto ni udhaifu...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: helicopter za jeshi zinazungunguka mji mzima

    Siku ya nne Leo helicopter 🚁 za jeshi zinazunguka kutwa nzima nzima .hii hali hatujawahi ona hapo kabla na hatujui sababu ni Nini haswa.
  19. Ma mbwa

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Tanzania ndiyo ikawa nchi ya kwanza jeshi la wananchi kuingia vita na wananchi badala ya kuwatetea

    Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji. Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la polisi na wao kufuata mkumbo. Watu wanaandamano kudai haki yako mkuu wa jeshi CDF anajitokeza kwenye...
  20. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Tz jeshi ni moja tu, Jeshi la polisi

    Kwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
Back
Top Bottom