Mauaji Uvinza: Afisa Misitu na Askari wa Jeshi la Akiba wauawa wakiwa doria. Serikali ioneshe makucha haraka

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello JF

Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali.

Ni hatari sana ni hatari sana kilichotokea huko Uvinza ni hatari sana.

Wadiz
 
Poleni.

Hicho ni kitu kikubwa, ongeza nyama
Hii habari watu wa TFS na Mamlaka za Wilaya ya Uvinza wanapaswa kuongea na vyombo vya habari kwa uwazi kabisa na kutoa onyo kali
 
Serikali iongeshe makucha kwa watu watumishi wake pia isiwe Askari akiua Raia anaangaliwa bila kushtakiwa lakini Raia wakiua Askari serikali inawashtakj ikikitendo cha Serikali kuwalinda waarifu wao na kuwashtaki wananchi hakkubaliki, ndiyo maana Raia nawao wanaamua kulipa visasa hii tabia ya serikali kuendelea kuwa Linda askari wake wanaowapiga risasi rai na kuwauwa bila kukamatwa na wao raia wataendelea kuwaau hao askari na vitendo vya Rais kuchoma moto vituo vya polisi na kuwadhuru vitajirudia kama ilivyokuwa kwenye awamu ya 4.
 
Hello JF

Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la police, mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya serikali.

Ni hatari sana ni hatari sana kilichotokea huko Uvinza ni hatari sana.

Wadiz
Wanaotaka kuchafua serikali watashughulikiwa. Mh Rais amehidhatiti hakuna dhulma na uonevu ktk ardhi ya Tanzania tena.
 
Watumishi Watatu Kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Wilaya Uvinza wameuawa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji, Taarifa zinadokeza kuwa Watumishi hao ni Afisa Misitu Mmoja Na Askari wa Akiba Wawili (Mgambo)

Waliwafuata Wafugaji hao kwa nia ya kupata pesa ya kiwi hapo ndipo Wafugaji wakacharuka na kuwalaza chini haraka haraka!! Haki Jinai Kimya Kimya
 
Wanaotaka kuchafua serikali watashughulikiwa. Mh Rais amehidhatiti hakuna dhulma na uonevu ktk ardhi ya Tanzania tena.
hawa wanastahili kuadabishwa sana tukiwalea ni hatari sana
 
Back
Top Bottom