jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Habari wanajamvi, Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania. Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni...
  2. Ajira zote za jeshi la polisi zianzie ngazi ya Diploma

    Ili kuboresha utendaji na weledi wa Jeshi la Polisi nchini ni vyema serikali ikaweka kigezo cha elimu kama kipaumbele kwa ngazi zote za polisi.Hii ni kutokana na umuhimu na unyeti wa kazi za ulinzi wa usalama wa raia na mali zao. Waajiriwe vijana waliomaliza diploma, digrii na masters tu katika...
  3. Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
  4. Kigoma: Inakuaje Jeshi la Polisi Kuhifadhi Jina la Muhalifu na Amekamatwa

    Wana muungano eeeh Tunaomba Mh. Raisi Samia aliangalie hili mara mbili yaani polisi kigoma wamemkamata muhalifu wa ujambazi na wanasema wamehifadhi jina lake. Kuna uhalifu wa majambazi kuwapora abiria wa gari njiani uliotokea barabara ya kibondo kasalu, polisi wanasema wamehakiki tukio hilo...
  5. Jeshi la Polisi ukaguzi wenu ni ovyo stand ya mabasi Mbeya

    Yani mmesahau kuwa abiria huwa wanaondoka na timetable, mmechelewesha abiria kituoni sababu ya ukaguzi? Mbona mnapenda kufanya yenu tu ndio yaelekee ila hamjali mambo ya wengine, mlishindwaje kukagua gari usiku muache asubuhi na mapema gari ziondoke kwa ratiba. Kweli ni haki kucheleweshewa...
  6. Sikubaliani na hiki alichofanyiwa huyu binti, Jeshi la Polisi lichukue hatua kwa waliohusika

    Kumekua na Video inayozunguka katika Magroup ya Whatsapp na mitandao mbali mbali. Video ikimuonesha binti anayetuhumiwa kwa wizi katika makanisa. Viongozi/waumini wanaonekana katika video hii wakimpiga mtuhumiwa. Jambo hili halikubaliki na niuvunjaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu...
  7. Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

    Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi...
  8. M

    Ni jambo zuri Jeshi la Polisi kuanza operation maalumu Jiji la Dar es Salaam

    Pongezi kwa jeshi la Polisi kwa kuona umuhimu wa kufanya ilo 1. Dar es Salaam sio yenye uwalifu pekee. Labda kama wanaanza apa alafu wandelee Mikoa mingine 2. Pili wezi gani wanaotafutwa? i . Wakuiba vipuri vya magari majumbani mwa watu? ii. Wakuiba Tv majumbani mwa watu iii. Wezi wa...
  9. Kuibuka kwa wimbi la Ujambazi hasa DSM ni kukomoana ndani ya Jeshi la Polisi?

    Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vijiulize hili swali kwa makini. Hii hali si ya kawaida na sisi wananchi tunaiona kwa macho yetu. Hili wibi la ujambazi lililoibuka hasa baada ya Mama Samia kuingia madarakani na kutaka mabadiliko, hasa Dar es Salaam, kuna nini nyuma yake? Tunajua kuwa...
  10. Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

    Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni. Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive procedures ambazo zilicost muda na fedha. Now just your smartphone shughuli imeisha. Hongera sana...
  11. SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
  12. Vitendo vya baadhi ya matrafiki vinatia doa Jeshi la Polisi

    Habari wadau. Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri pamoja na wote wanaotumia barabara au wenye shughuli zao pembezoni mwa barabara. Baadhi ya askari...
  13. Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  14. Rais Samia, ikitupendeza futa Jeshi la Polisi, Tuletee Huduma ya Polisi

    Mheshimiwa Rais Nianze kwa kukusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lengo ni lile lile la kazi iendee. Tumekuwa na mijadala nchini mwetu kwa nyakati tofauti kuhusu namna Jeshi letu la Polisi linavyofanya kazi. Mara nyingi Jeshi limekuwa likishutumiwa kwa masuala kadhaa ikiwamo...
  15. Dar es Salaam: Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake UPDATES: RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  16. Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi la Rwanda sasa ni Imani yangu Jeshi la Polisi la Tanzania litaimarika zaidi na kubadilika kiuweledi

    IGP Sirro umeona mbali sana na GENTAMYCINE nakupongeza kwa Kuomba 'Ushirikiano' wa Kiuzoefu na Kiuweledi kutoka kwa Jeshi bora la Polisi Afrika la Rwanda nchi iliyobarikiwa kama ilivyobarikiwa nchi ya Israeli. Kwakuwa IGP Sirro wa TP ameanza nawaomba na akina Msuya wa SSIT na Mabeyo wa ZTWJ nao...
  17. J

    Nafasi ya Jeshi la Polisi katika Demokrasia ya vyama vingi vya siasa

    Kukua kwa demokrasia katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi kunategemea utendaji bora wa Jeshi la Polisi. Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi zimeweka bayana kuwa shughuli za kisiasa ni miongoni mwa mambo ya msingi katika jamii ya kidemokrasia. Hata hivyo, harakati za kisiasa zisipowekewa...
  18. J

    Matumizi ya nguvu kwa Askari wa Jeshi la Polisi ni sahihi?

    Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka Ijapokuwa askari polisi anaweza kutumia nguvu, lakini hayuko juu ya sheria, na iwapo atatumia nguvu isivyohitajika atachukuliwa hatua...
  19. Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  20. Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…