jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waliolitumia Jeshi la Polisi vibaya na kulifanya lionekane la ovyo ndio wanaolituhumu sasa

    Ni jambo la kushangaza. Wale wale waliolitumia jeshi pa polisi vibaya kwaajili ya manufaa yao ndio wao tena wanaolituhumu na kutaka lichunguzwe. Ni wazi CCM ndiye mnufaika mkuu wa matumizi mabaya ya jeshi la polisi dhidi ya wapinzani. Leo anainuka katibu wa propaganda kutaka lichunguzwe...
  2. Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

    Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus...
  3. Jeshi la Polisi sio tatizo, ni viongozi

    Binafsi sidhani kama kulichunguza Jeshi la Polisi kutaleta ufumbuzi wa matatizo yanayolalamikiwa na wananchi. Tatizo la Jeshi la Polisi ni viongozi wake. Viongozi wa Jeshi la Polisi hawana weledi, uadilifu ktk utendaji kazi wao viongozi wa jeshi la polisi wapo kimaslahi na kisiasa, ukienda...
  4. M

    Unyanyasaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Habari za muda huu ndugu zangu. Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia. Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
  5. K

    Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  6. jeshi la polisi likimtafuta Makonda

  7. P

    Tuwatembelee Mapolisi wetu katika vituo vyao kuonesha Upendo

    Habarini ndugu zangu, Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao. Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu...
  8. Mtwara: Bodaboda waliopotea wakutwa wamekufa porini, Polisi waokota viungo vya binadamu

    Wimbi la mauaji limeendelea kuzitesa familia za baadhi ya Watanzania baada ya Polisi mkoani Mtwara kuthibitisha mauaji ya madereva bodaboda wawili ambao miili yao imepatikana pamoja na baadhi ya viungo vya mtu mwingine katika pori la Kijiji cha Hiari wilayani Mtwara Akizungumzia matukio hayo...
  9. U

    Mauaji ya bodaboda Mtwara, Polisi mmeshindwa kazi?

    Kumekuwepo taarifa ya matukio ya mauaji ya bodaboda mkoa wa Mtwara zaidi ya watano mwaka huu. Bodaboda hao wanauawa kisha wanaporwa pikipiki zao. Maiti za bodaboda hizi zimekuwa zikiokotwa maeneo tofauti baada ya kuporwa pikipiki. Matukio ya mauaji ya bodaboda yamekuwa ya kawaida huku Polisi...
  10. TANZIA Ex. SACP. Jacob Massawe Mwaruanda afariki Dunia

    IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu. Sirro ameeleza taratibu za mazishi za marehemu ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa zinaendelea kwa...
  11. INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  12. IGP Sirro, yanayoendelea kwa Jeshi la Polisi siyo dalili nzuri kwako na kwa taifa

    Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu askari polisi kuua raia na wengine kuuana wao kwa wao. Mtwara kule kuna kesi ya askari kuua...
  13. Jeshi la polisi ni ukoo wa kambale; samaki mdogo kwa mkubwa, wote wana ndevu

    Wakuu kwema? Baada ya mjadala wa muda mrefu kuhusu uovu wa polisi ulikokidhiri hasa siku za hivi karibuni,nimeona nami niseme kitu kwa uzoefu wangu wa hawa watesi. Kwangu mimi jeshi la polisi nalifananisha na ukoo wa kambale ambao kila samaki ana ndevu bila kujali umri,yaani namaanisha hakuna...
  14. Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

    Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu(...
  15. Jeshi la Polisi lasema askari aliyejinyonga alikuwa peke yake mahabusu

    Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuelezea tukio la Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Grayson Mahembe kujinyonga katika mahabusu alipokuwa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi, mkoani Mtwara. Wamesema askari huyo baada ya kutoa maelezo alifungiwa mahabusu peke yake...
  16. IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

    Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
  17. Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

    Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
  18. Rais Samia, wakazi wa Mtwara hatuna Imani na Jeshi la Polisi

    Muheshimiwa Rais, Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu mali za watu haikuanza leo wala Jana na bila kufanya Reform ya Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara (huko...
  19. Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake wawili. Jeshi hilo limesema wakati wa kumhoji, mtuhumiwa huyo alidai kuwa alikuwa anamdai mjamzito huyo gunia mbili za mahindi. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…