jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

    Weka maoni Yako. NB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi

    TAARIFA KWA UMMA Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. TAARIFA YA KUKAMATWA MWENYEKITI WA CHADEMA NDUGU, TUNDU LISSU Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

    Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon. ongezea hii kwenye stori yako JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
  4. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

    Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!?? Wepesi kama biskuti? Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko. Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko. Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
  5. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Watanzania Msikubali Kabisa Kukamatwa Na Askari Asiye na Kitambulisho

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Someni Habari hii muongeze Ufahamu kidogo. 👉Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea. Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa...
  6. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jeshi la Polisi kuelekea Simba SC vs. Al Masry

    Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeeleza kwamba litahakikisha usalama wa hali ya juu katika mchezo wa kombe la shirikisho Afrika (CAF) kati ya timu ya Simba ya Tanzania na AL Masry kutoka Misri. Jeshi linawahakikishia wananchi kwamba kutakua na ukaguzi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CP Mkumbo: Jeshi la Polisi lipo tayari kikamilifu kulinda amani kwenye Uchaguzi 2025

    Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia vitendo vyote vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Jesca Kishoa: Uchaguzi usipokuwepo amani itavurugika, kwa jeshi la polisi tulilonalo hakuna atakayezuia uchaguzi

    Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Singida, Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Kishoa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Dhahabu ya Tsh. Bilioni 1.81 imekamatwa ndani ya miaka minne wakati ikitoroshwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tunajivunia mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan katika Nyanja mbalimbali ikiwemo ya rasilimali watu, vifaa na majengo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Kigoma kwa tuhuma za mauaji ya Martin Runaku Mpemba aleyekuwa Diwani wa CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ni Kubwa sana kama hutafutwi na Jeshi la Polisi na wewe ni mtu Mwema. Lakini kama ukiingia kwenye 18 za jeshi la polisi kwa vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa sheria pamoja na kufanya jinai . Huwezi ukaukimbia Mkono wa Serikali. Hakuna mahali utakimbilia na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, igeni mfano wa Jeshi la Polisi katika kushughulika na wahuni kwenye mpira wetu

    Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli. Hongereni Jeshi la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi,tafuteni wataalamu wa IT,acheni kuajiri wasio na taalamu husika

    Binafsi niliwahi kuajiriwa na Jeshi la Polisi mwaka 1999 baada ya kuingia Depo mwezi Juni 1998. Lakini baada ya kuona mambo hayaendi niliamua kuacha kazi ndani ya masaa 24 mwaka 2009. Uombaji wa nafasi mlizotangaza tarehe 20 Machi ni kizungumkuti.Mtandao wenu(Polisi Portal)haufanyi kazi masaa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watu 19 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufundisha vijana mbinu za utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kina kubaini watu wote walioteswa na kujeruhiwa kwa vipigo na CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi mwenye cheo cha Mwenezi wa BAWACHA Taifa anaweza kutendewa unyama wa aina ile wa kupigwa kikatili...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi ajali ilitokea daraja la Tanzanite, watoa wito kwa madereva kuwa makini wakati wa huu wa mvua

    TAARIFA KWA UMMA Tarehe 28/03/2025 majira ya saa 7:45 mchana, karibu na daraja la Tanzanite, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imetokea ajali iliyohusisha magari matatu kugongana na kusababisha majeruhi wawili na uharibifu wa magari. Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari lenye usajili namba...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Huzuni: Jeshi la polisi, hivi mnayafanya yote haya kwa manufaa ya nani?

    Nakuja hapa jukwaani nikiwa na huzuni kubwa baada ya kupata taarifa za msiba kutoka kwa jamaa yangu, aliyepoteza binti yake wa kwanza aliyekuwa anakaribia kufanya mtihani wa NECTA. Binti huyo mwenye umri wa miaka 17 alifariki dunia baada ya kupitia changamoto nyingi za kiafya. Awali, alikuwa na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa John Heche Wilayani Mbarali, Mbeya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya. Chadema imelaani vikali hatua hiyo, ikitafsiri kama matumizi mabaya ya...
  19. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latolea ufafanuzi tahadhari ya usalama iliyotolewa maeneo ya Pwani, Kisiju, wasema nchi ipo salama

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji wake, Limetoa taarifa kwa umma likiwasihi wananchi wake kuendelea kufanya shughuli zao kwa amani utulivu huku likiwahakikishia kwamba nchi ipo salama. Aidha katika taarifa hiyo hiyo jeshi limeutaarfu umma kwamba bado linashirikiana na vyombo vingine vya...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha Nne wenye sifa zifuatazo: 1. Sifa za Muombaji a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa. b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa...
Back
Top Bottom