jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 LHRC yaliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi mkali uchaguzi CHADEMA

  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa alipongeza Jeshi La Polisi kwa "kusimamia" vizuri mkutano wa CCM na Uchaguzi wa CHADEMA

    Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema uliofanyika jijini Dar es Salaam. Bashungwa amesema hayo leo Januari 22, 2025 wakati alipofanya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa: Jeshi la Polisi litaendelea kusimamia usalama shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aapishwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Aliyeshiriki kusambaza picha za utupu kuhusu shule ya Baobab akamatwa na Jeshi La Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Januari 3,2025 lilipokea taarifa kutoka kwa Uongozi wa Shule ya Baobaob iliyopo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani ya kutengenezwa na kusambazwa katika Mitandao ya Kijamii picha mjongeo za utupu zenye maudhui machafu kimaadili lakini pia ni kinyume na Sheria za nchi...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

    Saa chache baada ya kutolewa taarifa ya kukamatwa kwa mwanasiasa mkongwe, Dk Willibrod Slaa, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia kwa mahojiano. Taarifa ya kukamatwa kwa Dk Slaa imesambaa kupitia mitandao ya kijamii, ikisikika sauti ya mwanasiasa huyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

    Dr Slaa amekamatwa usiku huu. Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni. Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza kwa njia ya simu Dkt. Slaa ameeleza kuwa, polisi wamefika...
  8. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  9. eden kimario

    JamiiForums Tanzania hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lasema Mwaka 2024 kulikuwa na Makosa ya Jinai 22,049 Mkoani hapo yaliyoripotiwa

  11. Mzalauliwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la polisi, Nyarugusu Mkoa wa Geita kunatisha matukio ya kutisha

    Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa. Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake wengi wamezungukwa na sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini. Shughuli zake kuu za watu kujipatia...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia: Jeshi la polisi lipo karibu na wananchi

    Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia Mfaume akiongea kwa uchungu katika msiba wa Askari Polisi waliopoteza maisha katika majibizano ya risasi na majambazi wilayani humo. Soma Pia: Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe! Dkt...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wajibu mapigo kwa askari aliyetishia kumvunja mwananchi mguu kwa kumpiga risasi "Vunja kama na wewe leo hufi"

    Wakuu, Inaonekana raia wameanza kuchoka na ukatili na vitisho kutoka kwa baadhi ya askari wa Jeshi La Polisi. Hapa ndio sehemu CCM imefikisha vijana ambao wanaonekana hawana la kupoteza! Kupitia video inayosambaa mitandaoni kwa kasi inaonesha askari wenye silaha nzito za moto wakiwa na vijana...
  14. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakiri Marehemu Ulomi alikuwa Koplo lakini aliacha kazi mwaka huu

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa ya Mchezaji Bernard Morrison kuhusu Kituo cha Polisi Mbweni

    Wakuu, Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Polisi ya Tanzania yashika namba 9 kwa Uweledi Afrika. Kenya haipo popote

    Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake. Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia. My Take Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tabora: Watu tisa washikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuozesha binti wa miaka 13

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata watu tisa kwa tuhuma za kumwozesha binti mwenye umri wa miaka 13, Faudhia Mwinyi, mkazi wa Kazaroho, Kata ya Mbugani, kwa mwanaume Issa Ndambile (24), mkazi wa Geita. Ndoa hiyo ilikuwa ikifungishwa katika Msikiti wa Kazaroho, Manispaa ya Tabora...
  18. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

    Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Aliyedaiwa Kutekwa aliuza gari alilokodi Ili kulipa madeni ya harusi.Uchunguzi unaendelea kubaini Alikopotelea

    Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi. Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi Ili Kulipa Madeni na kwamba Polisi wanaendelea kukusanya taarifa Ili Kubaini kama bwana Masawe...
Back
Top Bottom