jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Kitengo Cha Forensic Criminology Jeshi la Polisi Tanzania kazi yake ni nini hasa?. Mbona hawaonekani kwenye Matukio ?

    Chukulia Tukio la Mdude, mlango umevunjwa, Wamempiga, lazima Kuna traces walizoacha . Mzee Kibao , Sativa , KITIMA na wengineo ambao walipatikana wakiwa hai au Kufa. SIJAWAHI ONA KWENYE MITANDAO POLISI WA TANZANIA , KITENGO CHA FORENSIC ,WAKIFANYA KAZI. Sana sana, watafika, wabebe mwili...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Polisi na rais nani wenye madaraka makubwa hasa wakati huu ambapo nchi inajiendea tu kana kwamba haina serikali?

    Kuteka, kupoteza, kuua, kutisha, kunyanyasa, kudhalilisha, kupokea rushwa, kuvunja sheria, kujitwalia mamalaka, kufanya watakavyo ndiyo unavyoweza kuelezea jeshi la polisi kwa sasa. Huwa nashangaa. Je haya mamlaka yasiyo na mipaka jeshi la polisi limeyapata wapi? Wapi madaraka ya rais? Je...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/DINI Mbeya, Mficheni Mzee alofichua Siri polisi ya kumtuma awasaidie Makazi ya Mdude

    Huu ni Ushauri tu Huyu Mzee hatakiwi kua Mikononi mwa Jeshi la hao wahuni wa Tanzania. Wakimchukua, watamfanya asionekane, alafu wataanza kutoa matamko kama wendawazimu japo hata matamko yao yamekaa kipuuzi puuzi !!.
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la kutekwa kwa Mdude, mzee afichua jinsi Polisi walivyomfuata kutaka awasaidie kumfanyia Ujasusi ili wampate

    Wakuu, Mungu anaendelea Kuwaumbua. Kwa madai ya huyu mzee ALIFUATWA NA POLISI TANZANIA, MZEE ANAMTAJA POLISI KWA MAJINA YAKE, MZEE ANASEMA, JUZI JUZI JUZI walimfuata Nyakati za usiku, wakimuahidi malipo ya Pesa anayotaka, iwapo atafanikisha kuwaambia Mdude Nyagali anakaa wapi . Mzee...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lakanusha kumkamata Mdude Nyagali

    Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Rais wa TEC amesema ana imani kubwa na Jeshi la polisi

    Wakuu nmekutana na hili sijui gazeti sijui kipeperushi kikielezea kuwa Rais wa TEC amesema ana imani na jeshi la polisi na amewasailiana na IGP Wambura kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Katibu wa TEC Padre charles Kitima wanadai ni kutokana na mahojiano aliyoyafanya na Dw, Je ni kweli?
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 John Mnyika apongeza jeshi la Polisi kwa kulinda demokrasia

    Wakuu wa JamiiCheck hii uhalisia wake upoje?? === JOHN MNYIKA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KULINDA DEMOKRASIA NCHINI AMEYASEMA HAYO LEO WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA MEI MOSI 2025. LEO TAREHE 30 APRILI, 2025, MAKAO MAKUU YA CHADEMA.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Niwashauri jeshi la polisi ingawa nao huwa wanavunja sheria

    Hakuna haja ya kuwaza sana kiwatafuta watu wanaofanya mambo ya kuhatarisha amani,Ni vijana baadhii wa CCM ndiyo wanahatarisha amani,kama juzi mlimsiki katibu wao Nchimbi licha ya kupiga marufuku ule wimbo wa vijana wao waliyoimba. Wapinzani wakifa wao hawawezi kulia watawatupa mtoni wawe...
  10. Elisante Yona

    JamiiForums Tanzania Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

    Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao Wote wanajibu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini

    Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali! Hii ni aibu kwa Rais Samia...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

    "Kanusho la polisi kuwa hayuko kituo cha polisi Central itakuwa ni kanusho la uongo kwa kuwa alipelekwa kituo cha polisi Central jeshi la polisi kupitia kwa mkuu wa jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa, na aachiwe mara moja kama wanaodaiwa...
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Jeshi la Polisi mnafanya madhambi kwa kiburi, acheni kuonea watu tafadhari

    Acha niwaambie straight, what is this bullshit mnafanya kwa wananchi?! Mnadhulumu, mnatesa, mnanyanyasa raia wanyonge as if this country is y’all private property. Mnaona hii ni power? Hapana, hiyo ni temporary illusion of control — mtalipa. Mnaonea watu maskini mitaani, mnafungia watu bila...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kinachotakiwa Tanzania sio tu katiba mpya bali ni jeshi jipya la polisi

    Kinachotakiwa sasa kuwekewa mkazo sio tu katiba mpya ni mifumo ya kiuchaguzi bali na jeshi jipya, haiwezekani leo hii jeshi linauwa raia wasio na hatia bila huruma alafu alichukuliwi hatua zozote za kisheria lazima kuwe na mabadiliko kwenye jeshi la polisi
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LHRC yakemea kamatakamata na matumizi ya nguvu yanayoendelea dhidi ya Viongozi wa kisiasa, Wanahabari na Wananchi

    KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI Dar es Salaam, 24, Aprili 2025 Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanazania linafanya kazi nzuri sana kisasa, kwa mipango na weledi wa kiwango cha kimataifa kabisa kote nchini

    Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi latoa taarifa Kukutwa kwa mtu mmoja akiwa hajitambui katika eneo la ufukwe wa coco beach

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa kushirikiana na wananchi linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji. Kwa ujumla hali ya Jiji ni salama. Hata hivyo tarehe 24/04/2025 majira ya saa 5 asubuhi huko maeneo ya Cocobeach...
Back
Top Bottom