Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,931
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha Nne wenye sifa zifuatazo:
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
c) Awe amehitimu Kidato cha Nne au cha Sita kuanzia mwaka 2019 hadi 2024.
d) Kwa waombaji wa Kidato cha Nne na Sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
e) Kwa waombaji wa Kidato cha Nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
f) Kwa waombaji wa Kidato cha Sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III).
g) Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30
1. Sifa za Muombaji