jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanapaswa kutii amri za jeshi la polisi zinazo endana na katiba bila kuvunja sheria na sio kitu kingine

    Watu walio enda mahakamani hawakuwa na hatia na wala hawana historia yoyote ya uhalifu wala ugaidi kisheria hawakutakiwa kukamatwa. Ili tusiingilie uhuru wa mwengine mtu anapaswa kutii amri za polisi zinazo tokana na katiba bila kuvunja sheria na sio kutii mawazo yake binafsi kwa kufanya hivi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

    Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio...
  3. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

    Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama Jaribo la Chadema...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mpina, afikishwa mahakamani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani Pendo Paul Elikana, mkazi wa Mbuga ya Baya, Wilaya ya Meatu, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii kuwa amepewa kazi ya kutekeleza mauaji ya kiongozi wa kisiasa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limezuia mkutano wa CHADEMA kariakoo likidai litavuruga biashara bila kuwa na malalamiko yoyote ya wafanye biashara wa eneo hilo

    Kitendo cha jeshi la polisi kuzuia CHADEMA kufanya mkutano kariakoo haukuwa wa haki na unatia wasi wasi dhidi ya mwenendo wa jeshi hilo katika kutekeleza wajibu wake. Jeshi limezui mkutano likidai litavuruga biashara bila kueleza ni vipi itavuruga biashara wala bila kuwepo kwa malalamiko yoyote...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

    Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, umri miaka 50 anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Tangazo Kuitwa Usaili Jeshi La Polisi 2025

    Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.Ili kusoma majina ya walioitwa kwenye Usaili...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa

    Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

    MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) . Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na kesi nyingi hewa za uhaini kwa wanasiasa wa upinzani ni wazi kuna dalili za rushwa

    Tumeshuhudia kesi nyingi kabla hata ya Lissu za uhaini kwa wanasiasa wa upinzani pekee, mwisho wa siku kunakuwa kumbe hakuna kesi yoyote wala hatuoni chochote Jambo hili limekuwa kama mchezo wa mdhaa Ni wazi kabisa kuwa kuna wimbi kubwa la rushwa nchini hasa kwa jeshi la polisi
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa: Watu walichanga 2020 ili niwe mbunge wa kipindi kimoja kusudi ufisadi uendelee ushirika

    Serikali inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Karagwe, Innocent...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi latoa onyo wanaopanga kufanya vurugu siku ya kesi ya Lissu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo, likisisitiza atakayejitokeza atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Katazo la Jeshi la Polisi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latoa ufafanuzi kuhusu video ya mtu aliyeonekana akitekwa Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limetoa taarifa kuhusu kipandae cha video kilichoonekana mtu akitekwa mkoani humo. Angalia hapa tukio lilivyotokea === "Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linapenda kutoa ufafanuzi wa picha mjongeo (video clip) iliyoonekana kusambaa kwenye mitandao ya...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tuunganeni Kwa pamoja Bila Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi,Uchaguzi usifanyike

    Watanzania wote tuunganeni Kwa pamoja Bila Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi, UCHAGUZI USIFANYIKE !!. Moja ya vielelezo vitakavyoenda kuwaadhirisha Jeshi la Polisi Tanzania kwenye KESI YA KIJINGA dhidi ya LISSU , KESI inayotazamwa na kufatilia na Dunia nzima , ni hiki hapa Wakuu Alafu ,Jeshi...
  17. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Ni kweli jeshi la polisi Bunda mjini mmeshindwa kudhibiti hili kundi linalodhalilisha kukaba, kuibia watoto, kinamama na wanafunzi?

    Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao hayafanikiwa wakabadili mtindo wa utafutaji wakaingia kwenye biashara ya kuuza dhahabu feki.Hili...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Walimu wasio na ajira wasakwa kama ndege na Jeshi la Polisi!

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Tunaomba msaada wa kumsaidia mwalimu Mohonia Joseph aliyekamatwa jana. Huyo ni mwalimu mwenzetu tusiokuwa na ajira ambao tulianzisha vuguvugu la kudai haki ya ajira. Alikamatwa jana majira ya saa 6 mchana na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Nyamagana, Mwanza na...
  19. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Leo Wasafi wameupiga Mwingi, Jeshi la Polisi linatumika bila busara

    Kama kawaida, Edo na Baba Levo ndio watu ambao they can speak nothing but truth . Edo alishawahi kumwambia Cheusi kuwa asiseme watu wanajiteka wakati wanapoteza familia zao. Baba Levo ana inborn Character ya intelligence….he is smart ….. baba levo ni Alama kuwa kusoma sio kuwa na akili. Oscar...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mtwara afariki dunia

    Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Aprili 10, 2025 na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillius Wambura katika kurasa za mitandao ya kijamii ya...
Back
Top Bottom