Jengo la Biashara ndani ya ekari moja linauzwa

Kilimotii

New Member
Jan 29, 2017
4
5
Habari Wadau.

Nauza Showroom yenye details zifuatazo:

Eneo Lilipo : Kibaigwa Mjini linapakana na barabara ya Dodoma karibu na Sheli ya Olympic
Eneo linapakana na barabara kubwa ya Dodoma.showroom iliyopo tulikodishia kampuni ya kuuza matractor.
Eneo lina ubkuwa wa ekari moja.

Documents: Eneo limepimwa na lina title deed mbili (commercial and residential)

Why buying this property?

1. Bei yetu ni ndogo kulinganisha na dhamani and location ya eneo (tumevurugwa kidogo)
2. Eneo zuri sana kwa uwekezaji usioumiza kichwa:-
-Kibaigwa ni soko kubwa sana la mahindi Tz na east africa lakini kuna uhaba mkubwa sana wa storage godowns
-Gunia moja wanahifadhi kwa tzs 2,000/- kwa msimu (miezi tisa au nane)
-sisi tulitaka kutengeneza godown tatu za gunia 40,000/- (kama nliyosema tukavurugwa)
-ambaye atakua serious tutampa details zote.

BEI NI TZS 50,000,000/- (millioni hamsini tu)

Ahsante
 
Attachments

  • KIBAIGWA-DODOMA PICS.jpg
    KIBAIGWA-DODOMA PICS.jpg
    66.6 KB · Views: 5

Mkuu kwa hiyo kwa sasa godown hiyo ina uwezo wa gunia ngapi? Hapo ilipo
 
The price is reasonable ila sasa shida ni kwamba serikali wanaenda moja kwa moja kununua kwa mkulima, kupata mtu wa kuhifadhi mzigo kwenye godown kwa sasa ni vigumu mno labda wewe mwenyewe mwenye godown ununue kutoka kwa wakulima uhifadhi mwenyewe.Anyway Your idea was fantastic.

ATB
 
Back
Top Bottom