jenerali ulimwengu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Jenerali Ulimwengu umetimia mapema mno

    Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya: "Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye executive ambaye aliweza kusaga saga kila kilichokuwa mbele yake na kuweka ya kwake anayotaka yeye...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

    Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao. Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP World na Bandari, Jenerali Ulimwengu asema Serikali imepoteza imani ya wananchi

    Wakati mjadala wa uhalali wa mkatabva wa uwekezaji katika bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ukiendelea, Mwandishi nguli nchini Jenerali Ulimwengu, amesema Serikali imepoteza imani ya wananchi. Mwandishi huyo nguli anaibua hoja hiyo wakati watanzania na wadau mbalimbali...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

    Wanabodi Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya kabisa ya habari inayoitwa MB (Media Brains), inayoundwa na Manguli wabobezi na wabobevu wa habari nchini...
  6. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu alikuwa na bifu gani na Hayati Magufuli?

    Leo nimejikuta nawaza! Nini hasa ambacho kipo nyuma ya pazia kati ya Hayati Magufuli na Jenerali Ulimwengu? Msingi wa swali langu unatokana na maneno ya Jenerali Ulimwengu kwa Hayati Magufuli! Sijawahi kumsikia Mzee Ulimwengu akimsema Magufuli kwa mazuri, na hili limeingia mpaka kwenye gazeti...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Spika Ndugai alikuwa mnafiki

    Jenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai. Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu. Haya siyasemi mimi Jidduzz, ya Jenerali Ulimwengu haya. Na yuko spot on. Wengine na wasikie...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu kweli tunaingia 2022 ukiamini Samia Suluhu Hassan haijui Tanzania?

  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

    Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
  10. C

    JamiiForums Tanzania "Sisi Wazalendo" Tunasema Jenerali Ulimwengu Ameshanunuliwa na Mafisadi, Bring Back Our Jenerali

    Huo ni "UONGO" wa wazi... Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi Jenerali Ulimwengu alivyokuwa na chuki na Rais wetu kipenzi, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kwahiyo...
  11. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania Ni raha sana kuwa CCM

    Ukiwa mwana CCM utaishi kwa Raha sana, maana yake ni kwamba, hutaweza kuhisi maumivu yoyote ya maisha. Kila baya kwako litakuwa ni zuri tu, na kila zuri kwako ni zuri tu, kifupi ni kwamba hakunaga stress ukiwa mwana CCM. Bidhaa zikipanda Bei kwako ni sawa tu, ukishinda na njaa pia ni sawa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yamkingia Kifua Jenerali Ulimwengu dhidi ya vitisho vya Spika Ndugai

  13. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete

    Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo. Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mkitaka Jenerali Ulimwengu anyamaze na awe anawapigieni Makofi ya Heko mkiwa Magogoni na Chamwino fanyeni haya...

    1. Msiwe Mazuzu ( Majuha ) 2. Acheni Vitisho na Ubabe 3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola 4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi 5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo 6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu 7. Jibiidisheni sana Kusoma...
  15. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Jenerali Ulimwengu, a True Pan-African Legend

    JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 huko Ngara, Mkoa wa Kagera nchini Tanzania. Alisoma shule za Kamachumu, Katoke na Nyakato mkoani Kagera na sekondari mkoani Tabora kuanzia mwaka 1955 hadi 1968 na alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki wakati huo mwaka 1969 hadi...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

    Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa Bunge. Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo, ila anasema watapambana naye ndani na nje. ----+ Akizungumza katikati ya mjadala wa...
  17. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

    Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi. Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako. Ulimwengu na Ndugai
  18. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tunapoelekea tunazidi kupotea, baada ya kushindwa kazi yake anavamia ya mwenzake

    22 September 2021 Jenerali Ulimwengu: Tunapoelekea tunazidi kupotea, baada ya kushindwa kazi yake anavamia ya mwenzake
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu

    MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza. 𝗛𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 𝗛𝗨𝗢.... "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

    Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu. Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao...
Back
Top Bottom