jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 5 jela kwa kumkosoa Mfalme Mohammed VI

    Mahakama imetoa adhabu hiyo dhidi ya Saïd Boukioud aliyekosoa uamuzi wa Serikali ya Mfalme Mohammed VI wa kurejesha na kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia na Serikali ya Israeli. Boukioud alikutwa na hatia ya kuhujumu Utawala wa Kifalme kwa kumpinga Mfalme hadharani tena kwa kutumia Kifaa cha...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mkazi wa Miembesaba mkoani humo, Otienal Ibrahimu (36), baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mfanyakazi wake wa ndani mwenye umri wa miaka (15). Hukumu hiyo imetolewa Julai 31, 2023 na Hakimu Mkazi wa...
  4. Unasemeje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Ualimu ni Wito

  5. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwenyekiti wa Kitongoji ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka Msichana wa miaka 13

    Makama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 30 Mambo John (30) mkulima na mkazi wa kijiji cha Isengwa kwa kosa la kubaka. John ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mwanginde ilidaiwa kuwa katika nyakati tofauti kati ya Mwezi January na May 2023 huko...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahumbika, Hamis Bandari baada ya kumkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka. Hamisi na mwenzake Juma Kapilima, mkazi wa Liwale, walitenda kosa la kuharibu na kuuza miundombinu ya Kingo...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Binadamu tunavyojenga jela zetu na kusababisha vifo vyetu

    Hofu imetutawala kiasi cha kuweka nondo madirishani, ili wezi na wahalifu wasifikie usalama wako na mali zako. Nondo hizi huwa kero wakati hatari ikiwa ndani ya nyumba. Mhalifu anaweza kuingilia mlangoni ikawa shida kwako kutoka. Moto unaweza kuleta madhara mengine, moto wa hitilafu wa nyaya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Askari wa Jeshi la Rwanda afungwa Jela Maisha kwa mauaji ya Kimbari

    Mahakama ya Paris imemhukumu Askari polisi wa zamani wa jeshi la Rwanda baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya mwaka 1994 nchini mwake na kumhukumu kifungo cha maisha jela. Mahakama ilisema imempata Philippe Hategekimana, 66, na hatia ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muleba: Afungwa Jela miaka 3 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 250,000

    Hukumu hiyo imetolewa Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Muleba, Kagera dhidi ya Mashaka Magesa Ngereja baada ya kumkuta na hatia ya kupokea Hongo kwa lengo la kuuza Ardhi ya Kijiji cha Kahangaza kitongoji cha Kanyamlima. Mshtakiwa alikutwa na kosa hilo ambalo ni kinyume na Kifungu cha 15 cha...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkusanya Mapato afungwa miaka miwili Jela licha ya kurejesha Tsh. Milioni 10.6 alizoficha

    Ni Sylivester Vananth, aliyekuwa Mkusanya Mapato ya Halmashauri ya Ngara, Kagera aliyepewa hukumu hiyo na Mahakama baada ya kukutwa na hatia katika Kesi ya Uhujumu Uchumi na Ubadhirifu. Mshtakiwa alikiri Kosa na kuomba huruma ya Mahakama kwenye upande wa adhabu kwa kuwa ameshalipa Tsh...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kukopesha bila kuwa na leseni adhabu faini milioni 20, jela miaka miwili

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo. Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
  15. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Babati: Gurtu Sirro ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuuza meno ya tembo

    Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario. Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati. Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Siasa za Tanzania Mbowe ni 'next level'. Aliwahi kukutana na Mandela baada ya kutoka jela, ana maarifa mengi!

    Nimeangalia orodha ya watu wanaomponda Mbowe kuanzia Wabunge, UVCCM hadi akina Hamad Rashid nikaona 95% ni chuki binafsi tu na wala siyo lile angalizo au tahadhari aliyotoa Freeman. Mtu kama Kibajaj Tangu ahame CHADEMA na kujiunga CCM amekuwa na bifu na Mbowe. Hamad Rashid akiwa bungeni mara...
  18. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 20 jela kwa Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Jausia Msophe kwenda jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh500 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa mashtaka mawili likiwemo la utakatishaji wa fedha kiasi cha Sh158 milioni. Pia mahakama hiyo imemuamuru kiasi cha fedha cha Sh158 milioni zilizokuwepo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baba wa kambo jela kwa kumuambukiza mtoto UKIMWI kwa makusudi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi. Hukumu hiyo imetolewa mjini hapa leo Mei 31, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu mwenye...
Back
Top Bottom