Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:
Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66.
Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama...
Elpidius Edward, mkazi wa Mtaa wa Katundu mjini Geita amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali zenye thamani ya zaidi shilingi milioni 48.2 za Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki Geita.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemtia hatiani Elpidius baada ya kuridhishwa na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa Asilimia 12.
Akitoa taarifa hiyo leo Januari 15, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP...
Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa.
Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela.
TAMISEMI hata ukiiba elfu 50 jiandae kufukuzwa kazi au kufungwa.
TAMISEMI ukifanya kazi kuwa makini, unaweza kuingizwa...
Heri ya mwaka 2024 walimwengu
Mwaka huu umeingia nikiwa natafakari mambo kivingine hasa hili la kuwafungia watu wazima sehemu moja (jela) bila kujali wamefanya makosa gani, yaani adhabu ni moja kwa watu waliofanya makosa tofauti tofauti.
Kwanini tuwaweke wahalifu ndani? tuna waogopa...
Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . =================================================
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
Toa maoni yako
Kuna mpuuzi mmoja sasa ni wiki katoka kulewa zake Mbezi Beach Tangi Bovu (jirani na kwa Bujibuji Simba Nyamaume) na akawasha gari yake na kuiendesha spidi na kizembe kabisa akaja kugonga moja ya kingo za Daraja muhimu la Bondeni Kawe na ikabakia kiduchu tu gari lake litumbukie mtoni na...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Naibu DPP aliyefariki majuzi, Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema, Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini pamoja na Emmanuel Masonga aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa...
Habari🖐
Nahic kila mtu ameshawahi kuona au kusikia kesi za ubakaji, sometimes ni kweli ilitokea na sometimes haikutokea.
Hapa nazungumzia kesi ambazo mwanaume amekuwa Falsely accused and it was proven, binafsi sijui kwann wanawake huwa wanafanya hivo ila nahic wanakomoa tuu, either anakuchia...
Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu.
Mstaafu huyo pamoja na Viongozi wengine 10 wakiwemo waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu walikuwa kwenye uchunguzi juu ya...
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa.
Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana.
Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza.
Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague...
Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4
===========================
Update: 08/11/2023
https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/
==========================
Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.