Je wajua hili?

Je wajua hili?

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,189
Reaction score
4,905
Je wajua ukioga kila siku mara mbili maji ya baridi, una epuka kunywa pombe, huvuti sigara na bangi, unaenda gym unafanya mazoezi, hubeti, unapata usingizi wa kutosha, unakula matunda kwa kila mlo, unaepukana na huna msongo wa mawazo, hutumii caffeine yoyote iwe kwenye soda, energy drinks na kahawa, unafanya mapenzi salama (safe sex).

KAA UKIJUWA BADO UTAKUFA TU!

adriz de mbusii
 
Je wajua ukioga kila siku mara mbili maji ya baridi, una epuka kunywa pombe, huvuti sigara na bangi, unaenda gym unafanya mazoezi, unapata usingizi wa kutosha, unakula matunda kwa kila mlo, unaepukana na huna msongo wa mawazo, hutumii caffeine yoyote iwe kwenye soda, energy drinks na kahawa, unafanya mapenzi salama (safe sex).

KAA UKIJUWA BADO UTAKUFA TU!

adriz de mbusii
Unataka tufanyaje Nyangwisi ?

Acha Mabange bange mbaya
 
Je wajua ukioga kila siku mara mbili maji ya baridi, una epuka kunywa pombe, huvuti sigara na bangi, unaenda gym unafanya mazoezi, unapata usingizi wa kutosha, unakula matunda kwa kila mlo, unaepukana na huna msongo wa mawazo, hutumii caffeine yoyote iwe kwenye soda, energy drinks na kahawa, unafanya mapenzi salama (safe sex).

KAA UKIJUWA BADO UTAKUFA TU!

adriz de mbusii

loose Nut kwenye 1 & 2
 
Unaishi wapi mkuu? Ukijibu swali hilo nitajua nichangie kivipi. Nimemaliza-asante.
 
Kwasasa hivi nipo hapa Malmo Sweden.

RRONDO mrangi

adriz de mbusii
OK. Uko Sweden. Kwa bahati mbaya sijajua kama umezaliwa na kukulia huko.
Otherwise sio rahisi uweze kuyafahamu maisha ya Tz. hususan huku vijijini na baadhi ya maeneo ya miji. Zingatia kwamba Upatikanaji wa Maji ni issue mtambuka katika maeneo ya vijijini na baadhi ya sehemu za miji hapa Tz. Kipaumbele ni maji salama ya kunywa na kupikia na sio kuogea. Halafu hiyo gym ni huduma mostly mijini (na wala sio kila mji) na wala sio kila sehemu. Majority ya waTz tunaishi vijijini/mashambani na huduma ya maji ni hafifu sana e.g. Huku Umasaini ndani-ndani huku, mtu kukaa siku 2 bila kuoga ni kawaida sana. Tena e.g. Vibuyu vya kukamulia maziwa kuna maeneo husafishwa kwa kutumia mkojo wa ng'ombe. Huduma ya maji esp. mabwawa/malambo (Charco-dams) huchangiwa au hutumika kwa pamoja mifugo, wanyama pori na binadamu. Itoshe tu kukwambia Karibu sana uje Tz ukajionee mwenyewe - achana na maisha ya Sweden au kutoa Ushauri kwa kudhani watu wote wanaishi huko Sweden. Ni hayo tu.
 
Je wajua ukioga kila siku mara mbili maji ya baridi, una epuka kunywa pombe, huvuti sigara na bangi, unaenda gym unafanya mazoezi, unapata usingizi wa kutosha, unakula matunda kwa kila mlo, unaepukana na huna msongo wa mawazo, hutumii caffeine yoyote iwe kwenye soda, energy drinks na kahawa, unafanya mapenzi salama (safe sex).

KAA UKIJUWA BADO UTAKUFA TU!

adriz de mbusii
Wewe huku uswahili huwa tunasema bado kuokota makopo tu 😀😀😀
 
OK. Uko Sweden. Kwa bahati mbaya sijajua kama umezaliwa na kukulia huko.
Otherwise sio rahisi uweze kuyafahamu maisha ya Tz. hususan huku vijijini na baadhi ya maeneo ya miji. Zingatia kwamba Upatikanaji wa Maji ni issue mtambuka katika maeneo ya vijijini na baadhi ya sehemu za miji hapa Tz. Kipaumbele ni maji salama ya kunywa na kupikia na sio kuogea. Halafu hiyo gym ni huduma mostly mijini (na wala sio kila mji) na wala sio kila sehemu. Majority ya waTz tunaishi vijijini/mashambani na huduma ya maji ni hafifu sana e.g. Huku Umasaini ndani-ndani huku, mtu kukaa siku 2 bila kuoga ni kawaida sana. Tena e.g. Vibuyu vya kukamulia maziwa kuna maeneo husafishwa kwa kutumia mkojo wa ng'ombe. Huduma ya maji esp. mabwawa/malambo (Charco-dams) huchangiwa au hutumika kwa pamoja mifugo, wanyama pori na binadamu. Itoshe tu kukwambia Karibu sana uje Tz ukajionee mwenyewe - achana na maisha ya Sweden au kutoa Ushauri kwa kudhani watu wote wanaishi huko Sweden. Ni hayo tu.
Wewe hujamuelewa huyo kichaa! Maana yake hata uishi vizuri vipi,uwe na discipline kwenye kila kitu UTAKUFA TU kama mtu yeyote yule ambae anaishi tu bila tajadhari yoyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom