Hamjambo wote!
1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu.
2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe...
Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa.
Ujasusi si...
Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge
Cc : Fake P
Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda wote ungekuwa unatokwa na jasho.
Mitaa mingi ya mji wa cairo ikiwa ina msongamano ndivyo ilivyozidi...
1. Maisha ya Utumwa na Baharini
•Robert Smalls alizaliwa mwaka 1839 huko Beaufort, South Carolina, nchini Marekani akiwa mtumwa. Akiwa kijana, alipelekwa kufanya kazi kwenye bandari za Charleston. Huko, alijifunza kila kitu kuhusu meli—jinsi ya kuziongoza, ramani za majini, na jinsi jeshi la...
Katika maisha ya hapa bongo, unaweza kutana tu na mtu labda tuseme ni mfanyakazi mwenzako, au ni mfanyabiashara au hata bodaboboda akiendelea kupiga mishe zake tu za kawaida na mambo yanaenda.
Lakini mtu wa namna hii unaweza kukuta ni mwajiriwa anayefanya kazi kwenye idara ya kijasusi. Japo...
Heee! Mitego ya kanga hiyo imnase Simba mwachekesha walahi. Mmejadili ya kujadili mwaona la kuanza muanze na hilo. Nye Nye! So Gwajima mnatakaje. Nyingine dili atulize watu eeh.
Mjue sio ishu ya gwajima. Polepole au Chadomo. Jambo la wananchi walahi. Na bado
Wanabodi
Zamani JF ndio ilikuwa ya kwanza kwa ma Breaking News, lakini sasa...!
Yule member wetu, Jasusi, Aliyetoa Breaking News ile siku ya Tarehe 12 March mwaka ule, Taifa tukatangaziwa Tarehe 17 March, Leo ametoa Breaking News nyingine Kule kwenye youtube channel yake ya Jasusi TV, sijui...
Kipindi fulani tuliskia dola zimeadimika, lakini watoto wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya.
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Wasalaam.
CCM wanafanya mambo kisayansi zaidi na wanaangalia zaidi kesho kuliko leo. Baada ya kuona ACT watapunguza kura za mama hapo ktk uchaguzi mkuu walisuka mkakati kabambe kumshirikisha ZZK kwa kumtuma mamluki Luhanga Mpima kwenda ACT na kuwavuruga kama hivyo.
Inasemekana baada ya mission...
Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa.
Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.
Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.
Hayo...
Katika historia ya ujasusi wa kimataifa, kuna sura ambazo hazikuwahi kuvalia sare za kijeshi wala kuwa na vitambulisho rasmi, lakini walikuwa silaha kubwa katika operesheni za kificho. Mmoja wao ni Meyer Lansky, kamaria mmoja hatari na mfanyabiashara wa kamari haramu, mafia hatari, na kiungo...
Hamjambo!
Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan.
Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi
Raia; Warumi
Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi.
Paulo hakuwahi...
Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.
Habari yenyewe inaanza kwa kusomeka hivi:-
"Ktk hali isiyokuwa ya kawaida, jasusi toka mbinguni lamkimbia mama. Ni maajabu na kweli, lkn yametokea. Jasusi toka peponi laufyata kwa mwanamke. Japo jasusi liliahidi kuchafua hali ya hewa mpk moshi utoke endapo watekaji wataendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.