japan

  1. JamiiForums Tanzania Japan anamteketeza China kwenye derby ya far east

    Japo China hana mpira mkubwa sana lakini hii iko ndani ya Kila mchina kuwa hapendi kupigwa au kupitwa na mjapani Hawa ni washindani wa kudumu Hapa naangalia namna Japan anampiga china najua viunga vya Beijing na Hong Kong wanchina wanaugulia kwa maumivu
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA SEIKO 5 Original 100% ya Japan imeingia

    New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan. Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original. Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote Saa haiingii maji hata uzame nayo chini ya bahari Seiko 5 utaikuta inatembea. Saa ni zaidi ya roho ya paka unatumia mpaka unazeeka...
  3. JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Japan

    Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua nikiagiza Dualis from Japan hadi mlangoni kwangu Tsh ngapi

    Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea. Naona bei kwa kule ni 3346USD Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili 8883630 x2 haikosi 18,000,000 Wakuu ndivyo??
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tunatoa usaidizi na ushauri katika kuagiza gari

    Habari wanajamvi, Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi; 1)Tuwasiliane tujadili gari...
  6. JamiiForums Tanzania Personal Assistant to a Senior Diplomat at Embassy of Japan in Tanzania

    GENERAL INFORMATION 1. Position title Personal Assistant to a Senior Diplomat (There is only one post available.) 2. Period of performance ・One year (renewable. Subject to a three-month probationary period.) ・Full time (40 hours /week) 3. Working hours 7:30 to 16:30 (Lunch break: 12:30 to...
  7. JamiiForums Tanzania Japan yatenga shs. Trillion 120 ili kushinikiza vijana kuzaa kwa wingi

    Takwimu zinaonyesha taifa la Japan (kizazi cha waJapan) kinaenda kufutika kabisa ndani ya miaka 100 ijayo. Hii inatokana na kiwango kidogo zaidi kuwahi kushuhudiwa cha uzazi huko Japan, ambapo kwa wastani mwanamke mmoja anazaa mtoto mmoja, ‘fertility rate ni 1.2’. Maana yake wanashindwa hata...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Million 15 Kushuka chini, naweza kupata Gari kutoka Japan?

    Habari za mishe mishe wakuu. Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka JP? Magari ya Million 15 na kushuka chini 1. Honda Fit (2nd gen, 2007 -2012) Unaweza ukapata hii...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 17m napata gari gani kutoka Japan

    Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m. Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

    Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako. Ishu Ni kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaovizia scholarship za japan tukutane hapa

    Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

    Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
  13. JamiiForums Tanzania Security and Consular clerk at Embassy of Japan April, 2024

    The Embassy of Japan in Tanzania has a vacancy for a Security and Consular clerk. GENERAL INFORMATION 1. Position title Security and Consular clerk (There is only one post available.) 2. Job Description (1) Security Officer at the Embassy of Japan in Tanzania. (2) Collection of information on...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa. Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua. Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanariadha Magdalena Shauri Aangukia Pua, Tokyo Japan

    Mwanariadha Magdalena Shauri ameangukia pua baada ya kushika nafasi ya 11, kwa muda wa 2:32:58 huko Tokyo Japan, Jana tarehe 3/3/2024. Hata hivyo, Magdalena ndiye Mwanariadha pekee kwa sasa wa kike aliyefuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa mwezi julai, baada ya kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  19. JamiiForums Tanzania Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

    Miji ya wenzetu imepangwa ikapangika, imejengwa ikajengeka. Nataka ku relocate nikaishi zangu Kumamoto nchini Japan.
  20. JamiiForums Tanzania Political, Cultural and Public Relations clerk at the Embassy of Japan December, 2023

    Position: Political, Cultural and Public Relations clerk. GENERAL INFORMATION 1. Position title Political, Cultural and Public Relations clerk (There is only one post available.) 2. Period of performance ・One year (renewable. Subject to a three-month probationary period.) ・Full time (40 hours...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…