Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,741 Reaction score 110,571 Aug 8, 2024 #1 Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,794 Reaction score 165,533 Aug 8, 2024 #2 Hii nchi ni shida sana japo zina maendeleo.
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,975 Reaction score 6,393 Aug 8, 2024 #3 Japan inapigwa sana na matetemeko hasa mji wa Kumamoto
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 22,397 Reaction score 48,239 Aug 8, 2024 #4 Brigedia Gen said: Japan inapigwa sana na matetemeko hasa mji wa Kumamoto Click to expand... Aisee.