japan

  1. JamiiForums Tanzania Japan: utamaduni wa watu kutoweka kwa hiari

    Nchini Japan, watu hutoweka kwa hiari kupitia utamaduni unaoitwa jouhatsu au kuyeyuka kama mvuke. Maelfu ya watu huacha familia, kazi, na madeni kila mwaka ili kukimbia shinikizo la maisha. Sababu kuu ni aibu ya kijamii, kufeli kazini au mitihani, sababu za kiusalama na madeni mazito ya...
  2. O

    JamiiForums Tanzania # 🚘 UNAPANGA KUAGIZA GARI JAPAN, UK, AU JAPAN? PANGA FEDHA MAPEMA KUPITIA OZB FINANCE AGENT!

    Habari za wakati huu wanajukwaa la JamiiForums! 🇹🇿 Je, umekuwa na ndoto ya kuagiza gari kutoka Japan au nchi nyingine, lakini changamoto ya mtaji imekuwa kikwazo? Au tayari gari lako limefika bandarini Tanzania, lakini unatafuta namna ya kugharamia ushuru wa forodha na gharama nyingine za...
  3. JamiiForums Tanzania BYD ETT 44 Electric Truck inakuja kumchallenge Tesla Semi. Inabeba hadi Tani 44 na inatembea hadi Kilometa 600+ full charge.

    Tesla amezindua Electric Semi officially juzi juzi, na amesema zitakua sokoni kuanzia 2027. BYD nae ameleta ETT 44 Electric Truck, ambayo ni 4x2, inabeba hadi 44T, na Ina 980 HP. Inakuja na battery mbili, kubwa ikiwa ni 630 kWh inayotembea hadi 600 km ikiwa full charge, na unaweza kuchaji...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwarabu azua shutuma kila kona Japan baada ya kulalamika vyakula vyote vina kitimoto

    Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake. Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa...
  5. JamiiForums Tanzania BYD wamezindua "kei car" ya Umeme special kwa soko la Japan - BYD Racco.

    BYD kujaribu kuingia soko la Japan, wamezindua "kei car" BYD Racco, kwenda kushindana na wakina Honda N, Nissan Roox, Nissan Sakura nk. Racco ni FWD 5 doors microvan inayokuja na battery la 22 kWh au 35 kWh, ambazo zinakupeleka Kilometa au full charge. Racco Ina power sliding doors, NFC...
  6. JamiiForums Tanzania Ikikulazimu kununua gari ya Umeme (EV) used kutoka Japan, hizi hapa za kuzitupia jicho.

    Wakuu. Ikitokea, haujaridhishwa na mwenendo wa Bei ya mafuta, na unataka gari ambalo 99% misele Yako ni mjini bila kwenda nje ya mkoa wako, na unakaa Nyumba ambayo unaweza kupark gari na kuchaji, basi moja kati ya EV hizi zitakufaa; 1. Nissan Leaf (2018 - 2024) Ni vizuri kuanza na gari...
  7. O

    JamiiForums Tanzania 🚗 Unataka Kuagiza Gari Lakini Mtaji Hautoshi? Kuna Chaguo la mikopo

    🚗 Unataka Kuagiza Gari Lakini Mtaji Hautoshi? Kuna Chaguo la Financing Una mpango wa kuagiza gari kutoka Japan, Dubai, UK au nchi nyingine lakini changamoto yako ni kupata fedha za kuanzia? Au gari lako tayari limefika Tanzania na unahitaji fedha kwa ajili ya import duty na gharama...
  8. JamiiForums Tanzania Mgomo wa Mabasi, case study Japan!

    Japani wanavyofanya wakileta tanzagiza madereva sijui watasemaje kwa mfano, ni hivi japani kituo cha mabasi kama kile cha mbezi kuna kituo cha polisi ambacho kina dirisha la kioo kama vile dirisha la bank teller, asubuhi madereva wakifika kitu cha kwanza wanakabidhi leseni kwa trafiki polisi...
  9. JamiiForums Tanzania My 6 Dream Sedans kutoka Japan, USA na China!

    Kila mtu ana mapenzi yake, me napenda sana sedans. Kusema kweli hizi hapa ndio list ya sedans ninazozipenda. 1. Honda Accord 2023 au Insight 2022 (Japanese) Hizi ndio cheaper option. Mil 20-40 pamoja na TRA unaweza kupata. Sema Accord iyo expensive. Hybrid, New Technology, Reliable...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Japan inajua alipo Rachel Dangwa?

    Kwakwi hadi sasa, hakuna jibu la usahihi la umma ikiwa serikali au watu nchini Japan wanajua alipo Rachel Dangwa, kwani suala la kupotea kwake limebaki kuwa kitendawili kikubwa na sintofahamu tangu mwanzo wa Agosti 2026. Vyombo vya usalama nchini humo vimekuwa vikishughulikia suala hilo kwa...
  11. O

    JamiiForums Kenya Ni Japan Ama Nairobi? Otamatsuri 2026 Yavuta Maelfu na Kuteka Mtandao

    “A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan akitumbuiza Nairobi. Video hiyo ilinaswa wakati wa Otamatsuri 2026, tamasha la anime, manga na pop...
  12. JamiiForums Tanzania Japan Yajaribu 6G kwa Kasi ya 112Gbps!

    Japan Inajaribu Mtandao wa 6G wenye Kasi ya 112Gbps: Unaoweza Kushusha Faili la 10GB kwa Chini ya Sekunde Moja. Japan imefanya jaribio linaloweza kuwa hatua muhimu kuelekea kizazi kijacho cha teknolojia ya mawasiliano. Watafiti nchini humo wamefanikiwa kusafirisha data kwa kasi ya 12Gbps kupitia...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wengi Wahofiwa kukwama baada ya Jumba la Biashara kuporomoka kufuatia Tetemeko la ardhi Japan

    Watu Wengi Wahofiwa Kukwama Baada ya Jumba la Biashara Kuporomoka Kufuatia Tetemeko la Ardhi Nchini Japani, Maafisa Wasema Waokoaji walikuwa katika mbio dhidi ya wakati kuwatafuta watu na kuzima moto baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.8 kwenye kipimo cha Richter kupiga mkoa wa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuingia mikataba ya 'Visa-Free' na nchi zilizoendelea kama Japan? nini athari zake?

    Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru? Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwazi kama Japan, Korea, Singapore na Ulaya?

    Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30. Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania FT: Brazil 2-1 Japan | World Cup 2026 | NRG Stadium | Juni 29, 2026 | 2:00 Usiku

    Unatarajiwa kuwa mchezo wa kuvutia zaidi katika hatua ya 32 bora kwenye Kombe la Dunia la 2026 unafanyika mjini Houston, ambapo mabingwa mara tano Brazil watachuana na Japan, timu ambayo haijawahi kushinda mchezo wowote wa hatua ya mtoano katika mashindano haya. Baada ya kiwango kisichoridhisha...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Japan releases Shs 1.85 billion to boost Uganda Ebola response

    The government of Japan has provided an emergency grant of USD 500,000 approximately (Shs 1.85 billion) to support Ebola response efforts in Uganda, as authorities and humanitarian agencies intensify measures to contain the outbreak and prevent further transmission in high-risk communities. The...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kununua spare parts kutoka Japan

    Wadau wa JF yoyote mwenye ufahamu kuhusu website nzuri kutoka Japan nayoweza kununua spare parts (pressure sensor) kutoka Japan. Maana nimeishanunua used mara mbili kutoka Kenya zinafeli nataka nijaribu Sasa kununua mpya kutoka Japan mdau anejua njia nzuri zaidi ya kupata hako ka sensor from...
  19. JamiiForums Tanzania Japan wanaenda kuishangaza dunia Kwa kubeba world cup 2026...Huu ni utabiri wangu

    Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup. Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Putin anazidi kudhalilishwa na makombora ya Ukraine na kuzidiwa; je atafanya kwa Ukraine kile USA walichofanya kwa Japan mwaka 1945 ili kushinda vita?

    Baada ya Ukraine kuruhusiwa kumpiga Mrusi ndani ya mipaka yake, Ukraine amejijengea uwezo mkubwa sana wa kutumia drone katika kuipiga Urusi anavyotaka kwa masafa marefu. Upigaji wa Ukraine kwa Urusi umekuwa wakisaikolojia sana - wakati wa mkutano wa kimataifa ambao hata raisi Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…