Jana baada ya Chelsea kuchukua ndoo nikaliunga libeneke hadi saa 10 alfajiri ndiyo natinga home...tilalilaa
Leo nimeamka saa nane mchana..nikatoka kula mbuzi choma maana kila kitu kilikuwa hakipandi...
Nikarudi home saa tisa sasa hivi nipo na familia kupunguza sooo la jana..najichekesha...