jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Nimechanja chanjo ya COVID-19 jana na niko salama

    Jana baada ya waheshimiwa kupata chanjo yao, nami nikaingia chemba kuipata rasmi. Nimechanjwa hii chanjo ya Jonson and Jonson kama hatua moja ya kinga ya ugonjwa wa corona. Nia ya bandiko hili ni kuwajulisha ninavyoendelea kadri siku zinavyokwenda. Mpaka sasa na leo niko salama na nita update...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

    Hakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii. Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo anakwambia mbona chanjo ya malaria na UKIMWI wazungu bado hawajaigundua, hivi hizi ni akili za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Jana kutumia code ya simbanking tigo ni sh 100 kwa Mara moja, *150*03#

    Kuanzia Jana tigo wameanzisha tozo ya kuweza kuingia sim banking kwa kutumia mtandao wao, kwahivo kula ukitaka kuangalia salio, kutuma salio kwa simu banking lazma utoe 100 ndo uingie ndani. Sasa sisi waalimu unakuta zamani unaangalia hata salio Mara 30 kucheki salary sijui itakuaje, kila...
  4. mngony

    JamiiForums Tanzania Tuna la kujifunza; Mama Mghwira mwaka alijitangaza kuumwa Corona na kupona, lakini mwaka huu...

    Japo ukweli unabaki wewe mwenyewe ndio unawajibika kwa afya yako, hivyo wewe ndio muamuzi wa jambo lolote kuhusiana na afya yako na wala mtu mwingine asikuchagulie linalohusiana na afya yako Kufutia kuumwa kama tulivyoambiwa na familia ugonjwa wa changamoto ya kupumua, Mama yetu Mghwira Mungu...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mpaka bobby walikuwepo kuzuia katiba mpya jana mjini Mwanza

  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimetazama dakika 45 ya Mhe. Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha jana jumatatu nimemuelewa katika haya

    Dakika 45 za Mhe. Mwigulu Nchemba nilisikiliza kwa umakini mkubwa na baadaye nimekubaliana naye juu ya tozo ya miamala ya simu kwa sababu zifuatazo:- (1) Alitamka wazi kuwa makato yanayoelezwa na watu kuwa ni kubwa ni upotoshaji. Yeye alisema kama mtu atatuma mathalani Tshs.1,000,000 makato...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Bank jana na leo asubuhi

  8. ommytk

    JamiiForums Tanzania Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini. Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jose Mourinho 2018 aliongea haya kuhusu Bonucci na Chiellini. Je, kwa performance yao unahisi kuna ukweli?

    “Leonardo Bonucci and Giorgio Chiellini... they could go to Harvard University to give classes about how to be a central defender. They’re quality. When I say quality I don't just say creative players. Chiellini-Bonucci, it’s absolutely beautiful to see”. 🇮🇹 José Mourinho - 2018
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Hawa Beiging Engineering Company niliowasikia kwenye taarifa ya habari jana ndio wa kina nani?

    Habari wadau! Anayewajua hawa wa wachina jamani
  11. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Jana refa katunyima penalt

    Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo ni muhimu jana, leo na kesho.

    Tanzania imebahatika kuwa na mwambao mrefu sana wa bahari kuliko nchi nyingi barani Africa. Sisi tuna Zanzibar yote iliyozunguukwa na bahari, tuna Tanga mpaka Mtwara maji ya bahari tu. Ikiwezekana tuwahamishie Bara baadhi ya wakazi wa Zanzibar ili kupata nafasi ya kujenga ports kubwa nyingi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye teuzi za Wakuu wa Wilaya Juni 19, 2021

    Kwanza nianze kwa kunena kuwa kwa mujibu wa muundo wa uongozi kwa katiba tuliyo nayo kwa sasa ni sahihi kuwa na wakuu wa wilaya. Kwa vile sasa tuko awamu mpya (ya awamu ya sita) ni sahihi pia kwa Raise mpya kusuka timu yake ya uongozi. Namna mojawapo ya kufanya hivi ni kuteua viongozi...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  17. imbegete

    JamiiForums Tanzania Pugu Kajiungeni eneo la mpakani hatuna umeme tangu jana

    Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye nini?
  18. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

    Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tuliorudi asubuhi jana tukutane hapa

    Jana baada ya Chelsea kuchukua ndoo nikaliunga libeneke hadi saa 10 alfajiri ndiyo natinga home...tilalilaa Leo nimeamka saa nane mchana..nikatoka kula mbuzi choma maana kila kitu kilikuwa hakipandi... Nikarudi home saa tisa sasa hivi nipo na familia kupunguza sooo la jana..najichekesha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    " Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
Back
Top Bottom