Tuliorudi asubuhi jana tukutane hapa

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,226
2,000
Jana baada ya Chelsea kuchukua ndoo nikaliunga libeneke hadi saa 10 alfajiri ndiyo natinga home...tilalilaa

Leo nimeamka saa nane mchana..nikatoka kula mbuzi choma maana kila kitu kilikuwa hakipandi...

Nikarudi home saa tisa sasa hivi nipo na familia kupunguza sooo la jana..najichekesha chekesha kwa ze wife naona ni kama ananielewa kwamba jana ilikiwa ni USIKU WA ULAYA...call it Mkesha!! Night without Visa

Jamani vip wenzangu huko makwenu ikoje....?
 

kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,262
2,000
Nilikula gambe mpaka saa nane na nusu hivi mixer kupiga round wana na ma-keep change kwa waiter walionihudumia.

Asee wkend ilikuwa tamu ukizingatia pia ni tarehe za mashahara hvo mfuko ulikuwa unaruhusu.

Asubuhi nimeamka mapema sababu ya njaa nikala supu na kurudi kulala mpk saa saba.

Japo mi ni fan wa Man U ila sikutaka Pep abebe makombe mengi huku wengine tukitoka kapa.

Usiku wa Ulaya.
 

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,389
2,000
Nimerudi sa tisa....baada ya game nikatafuta game nyingine nikakamua zaidi ya Ngolo Kante nahisi hadi saiz huko mtu anajipepea
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,958
2,000
Nilirudi home Sina shati sijui nililipoteza wapi aiseee plisner nane sio mchezo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom