Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza

Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
1,863
2,000
Inakuwaje wanajamvi!

Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush.

Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa Kishindo kikubwa. Wanamgambo wengi wameshafukiwa.

Taifa teule limeenda mbali nakusisitiza Hamas lazima walipe mabomu walioshambuliwa nayo kwa kuwapelekea bills.

God bless and protect Israel

IMG_20210514_180704.jpg

Sobangeja

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
343
500
Inakuwaje wanajamvi!

Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush.

Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa Kishindo kikubwa. Wanamgambo wengi wameshafukiwa.

Taifa teule limeenda mbali nakusisitiza Hamas lazima walipe mabomu walioshambuliwa nayo kwa kuwapelekea bills.

God bless and protect Israel
Endelea bana na habari zaidi.........
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
14,757
2,000
Inakuwaje wanajamvi!

Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush.

Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa Kishindo kikubwa. Wanamgambo wengi wameshafukiwa.

Taifa teule limeenda mbali nakusisitiza Hamas lazima walipe mabomu walioshambuliwa nayo kwa kuwapelekea bills.

God bless and protect Israel

View attachment 1784687
Chawa
 
Mr.panya

Senior Member
Apr 6, 2014
173
250

maskini watoto na raia wanauliwa huko kila kukicha hawana hata hatia nyie mnashangalia kwa mihemko ya kidini, mara sijui taifa teule yani ni bullshits tu...!!
I'm sure siku waizrael wakija kuvurumisha makombora hapa Tanzania maybe tuseme tumekinzana na intetest zao, nina uhakika watu kama nyie mliokuwa blinded na dini zenu mtaitetea tu Izrael na mtaishinikiza serikal yetu kukubaliana na matakwa yao.
Jews wanatumia advantage kubwa kupitia misimamo ya dini zenu ili kujitengenezea sapoti kubwa around the globe na kiukweli wamefanikiwa kwa hili.
Tamaa ya mwanandamu kutaka kumiliki kila kitu haijawahi kuwa na majibu chanya hata siku moja , angalia tamaa za Hitler kutaka kutawal dunia zilivyosababisha umwagikaji damu dunia nzima ambao haujawahi kutokea .Nawaonea huruma sana watu wanaoteseka huko sijui ni lini watapumzika na kushushiwa missiles

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,991
2,000
Hilo teule umetokea wapi.. Waafrika ni watu wasioelewa mambo ya hii dunia sijui nini kimewakuta.. Hapo Israël hawawapigi wapalestina kisa ni Waislamu bali wanawapiga kisa ni wataka kuchukua ardhi the same kama wapalestina hawapiganii Uislamu wanapigania ardhi yao ila waswahili wanawaza vita ya kidini.. Mbona hamlalamiki mambo ya Somalia au Mozambique hapo watu wanauana kisa dini mmekalia uarabu
 
Hayo matoto ni future terrorist. Terror bred
 
GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL
IMG_20210514_184408.jpg
 
The imp

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
12,685
2,000
maskini watoto na raia wanauliwa huko kila kukicha hawana hata hatia nyie mnashangalia kwa mihemko ya kidini, mara sijui taifa teule yani ni bullshits tu...!!
I'm sure siku waizrael wakija kuvurumisha makombora hapa Tanzania maybe tuseme tumekinzana na intetest zao, nina uhakika watu kama nyie mliokuwa blinded na dini zenu mtaitetea tu Izrael na mtaishinikiza serikal yetu kukubaliana na matakwa yao.
Jews wanatumia advantage kubwa kupitia misimamo ya dini zenu ili kujitengenezea sapoti kubwa around the globe na kiukweli wamefanikiwa kwa hili.
Tamaa ya mwanandamu kutaka kumiliki kila kitu haijawahi kuwa na majibu chanya hata siku moja , angalia tamaa za Hitler kutaka kutawal dunia zilivyosababisha umwagikaji damu dunia nzima ambao haujawahi kutokea .Nawaonea huruma sana watu wanaoteseka huko sijui ni lini watapumzika na kushushiwa missiles

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Baba zao ndio wapuuzi badala kuitafuta amani wanataka Vita still wanaedelea kuzaa Kama sio wajinga Ni Nini

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,065
2,000
Inakuwaje wanajamvi!

Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush.

Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa Kishindo kikubwa. Wanamgambo wengi wameshafukiwa.

Taifa teule limeenda mbali nakusisitiza Hamas lazima walipe mabomu walioshambuliwa nayo kwa kuwapelekea bills.

God bless and protect Israel

View attachment 1784687
😅😅Pale Mwakibinga anapodhania kwamba mungu wa Israel ndiye mungu wake.
 
Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
2,742
2,000
Inakuwaje wanajamvi!

Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush.

Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa Kishindo kikubwa. Wanamgambo wengi wameshafukiwa.

Taifa teule limeenda mbali nakusisitiza Hamas lazima walipe mabomu walioshambuliwa nayo kwa kuwapelekea bills.

God bless and protect Israel

View attachment 1784687
Itakuwa na wewe pia umedanganyika na mfumo wa habari wa Israel. Wapalestina hata wakifa 1000 hawaishi.Wewe unadhani hizo akili na ushupavu wanao Israel peke yao?. Kama ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na kombora linaloruka Gaza likafika Tel Aviv uliko uwanja wa kimataifa wa ndege wa Ben Gurion.Pia hayo mahandaki tuliambiwa zamani kuwa yameshafukiwa yote na makombora,mbona leo yanatajwa tena.Huoni kuwa huko ni kuzidiwa akili na mbinu kwa Israel kutoka Hamas.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom