Naungana na Yanga, Simba mkichukua mapato ya mechi iliyoahirishwa mlaaniwe

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,424
2,000
Watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana Yanga mmmetusitiri Watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana.

Sasa nataka kujua kama team yangu ya simba itachukua zile hela za jasho la maskini walioingia uwanjani saa tano mechi ikaahirihishwa ili tu wafatilie hotuba za kuzindua kitabu cha 75,000 wajionee jinsi raisi mstaafu tajiri anavyopewa benzi la milioni 400.

Dah kudakeki walahi haya bana.
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,619
2,000
Hiyo mipango yao na mwanachama wao waziri wa michezo.
Walipanga kumkimbia Simba.

Kwa nini Waziri mwana utopolo alitoa maelekezo TFF ya kusogezwa muda?

Yanga acheni kutuchezea akili.Na kwa vile akili za watanzania wengi ni za hivyo hivyo,wengi wanawapongeza kwa ujinga mliofanya kupitia serikalini
watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana yanga mmmetusitiri watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana
SASA NATAKA KUJUA KAMA TEAM YANGU YA SIMBA ITACHUKUA ZILE HELA ZA JASHO LA MASKINI WALIOINGIA UWANJANI SAA TANO MECHI IKAAHIRIHISHWA ILI TU WAFATILIE HOTUBA ZA KUZINDUA KITABU CHA 75,000 WAJIONEE JINSI RAISI MSTAAFU TAJIRI ANAVYOPEWA BENZI LA MILIONI 400 DAH KUDAKEKI WALAHI HAYA BANA
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,513
2,000
Kwa namna yoyote lazima TFF ikishirikiana na Wizara husika wafanye mchakato wa ku compensate/kufidia.

Kwanza, wananchi waliopoteza pesa zao kwa kukata tiketi, nauli na gharama nyingine kama malazi na vyakula.

Pili, vilabu vilivyotumia pesa nyingi na muda kujiandaa na mechi hiyo.

Tatu, media zilizotumia rasilimali nyingi kujiandaa kwaajili ya mechi hiyo.

Nne, ni lazima wahusika wawajibishwe. La sivyo Tanzania tutakuwa watu wa hovyo sana.

Mwisho Simba na TFF hawastahili kubaki na/au kugawana hiyo pesa ya viingilio. Ufanyike utaratibu hiyo pesa irudishwe kwa wenyewe.
 
Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
4,382
2,000
Hiyo mipango yao na mwanachama wao waziri wa michezo.
Walipanga kumkimbia Simba.

Kwa nini Waziri mwana utopolo alitoa maelekezo TFF ya kusogezwa muda?

Yanga acheni kutuchezea akili.Na kwa vile akili za watanzania wengi ni za hivyo hivyo,wengi wanawapongeza kwa ujinga mliofanya kupitia serikalini
Wewe ndio unafanya tuwaite mbumbumbu
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,424
2,000
Kwa namna yoyote lazima TFF ikishirikiana na Wizara husika wafanye mchakato wa ku compensate/kufidia.

Kwanza, wananchi waliopoteza pesa zao kwa kukata tiketi, nauli na gharama nyingine kama malazi na vyakula....
Nitashangaa sana kama kutakuwa na mechi ya marudiano halafu wananchi washoboke nayo na media washoboke nayo dawa ni kususa tu wakachezie wenyewe huko na amri zao za kisengesenge
 
Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
841
1,000
Kwa namna yoyote lazima TFF ikishirikiana na Wizara husika wafanye mchakato wa ku compensate/kufidia.

Kwanza, wananchi waliopoteza pesa zao kwa kukata tiketi, nauli na gharama nyingine kama malazi na vyakula..
Viingilio vitabaki vya mwanzo na waliokuwa na tiketi ndo wataingia. Uzuri ni electronic tickets na data bado zipo
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,424
2,000
Viingilio vitabaki vya mwanzo na waliokuwa na tiketi ndo wataingia. Uzuri ni electronic tickets na data bado zipo
wataingia wapi hiyo mechi ya marudiano unadhani itakuwa na impact> au watasafiri kutoka zambia kama jana?kwendaaaaa mapumbavu yanzindua kitabu cha 75,000 wanataka tuingie dunia yao?
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,424
2,000
Hiyo mipango yao na mwanachama wao waziri wa michezo.
Walipanga kumkimbia Simba.

Kwa nini Waziri mwana utopolo alitoa maelekezo TFF ya kusogezwa muda?

Yanga acheni kutuchezea akili.Na kwa vile akili za watanzania wengi ni za hivyo hivyo,wengi wanawapongeza kwa ujinga mliofanya kupitia serikalini
 
kiboboso

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
7,498
2,000
hayo ni yako wewe ule usenge uliotoikea jana unauona mdogo? au unadhani mimi siyo mwana simba? pumbavu
Wewe pimbi ule useng ulisababishwa na simba mpaka tususie mechi za club bingwa? Wewe ni tupolo funga bakuli lako
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,424
2,000
waziri.PNG
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,590
2,000
watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana yanga mmmetusitiri watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana
SASA NATAKA KUJUA KAMA TEAM YANGU YA SIMBA ITACHUKUA ZILE HELA ZA JASHO LA MASKINI WALIOINGIA UWANJANI SAA TANO MECHI IKAAHIRIHISHWA ILI TU WAFATILIE HOTUBA ZA KUZINDUA KITABU CHA 75,000 WAJIONEE JINSI RAISI MSTAAFU TAJIRI ANAVYOPEWA BENZI LA MILIONI 400 DAH KUDAKEKI WALAHI HAYA BANA
Mapato unataka achikue nani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom