Mtazamo wangu Yanga vs JKU jana

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo:

1. Bryson David
Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa yassin. Anajua kushambulia, anajua kukaba, anajua kupiga cross, kimo kizuri cha mpira. Amemzidi mbali Sana kibwana Hasa kwenye kushambulia, na kupiga cross nadhan wale wanazi WA kibwana mmeliona Hilo bnafsi sjawahi kumkubali Sana kibwana Yule dogo si mzuri WA kufanya mashambulizi na cross na huwa akijaribu kupanda upande wake SKU zote unakuwaga uchochoro Tu. Hivyo benchi linakwenda kumuhusu.

2. Ambundo na Yussuph
Hawa jamaa uchezaji wao ni kama unafanana Sana hata mikimbio Yao yote. Jana niliwaona sioni kama Wana jipya Sana la kumtisha mkongwe kaseke au Yacouba kwenye hizo nafasi za pembeni kumbe huwa tunalalamika bure Tu kuwekwa benchi hawa raia aisee yacouba bado ni mzuri sana kucheza kuliko ambundo na Yussuph.

Jana walikuwa wachoyo Sana kumpa pasi mayele hata akiwa kwenye nafasi wao walikuwa wanabutua ili kutaka kufunga pia pasi zao zilikuwa mkaa Sana.

3. Mayele
Huyu jamaa ni hatari Sana mikimbio yake anafunga Goal hutegemei nadhan ni striker mzuri Sana kuliko makambo kimsingi ni haki yake kuanza first eleven bado namuona kuja kuwa mkombozi wetu WA kucheka na nyavu.

4. Ninja
Huyu jamaa huwa namkubali Sana kuliko mwamnyeto jamaa hakabii macho wala hasindikizi mtu ukimpita basi ni talking ya kuzuia mpira na kisha anainuka anauchukua mbele. Siku zote huwa nasema huyu jamaa akipewa nafasi ni mzuri kuliko akina job na mwamnyeto maana jamaa hata mipira ya juu ni hatari na anaiwin Sana. Tumeshafungwa goal nyng Sana kisa beki ya kukabia macho na kushindwa kuwin mipira ya juu. Anastahili kubaki yanga

4. Bangala na mukoko..

Sina la kusema jamaa wanajua labda uwe na bifu nao Tu.

5. Makambo
Yuko vizuri shida kubwa kwasasa ana stress za kutaka kufanya vizuri Sana ukizngatia mashabiki wanamuamini Sana pia inaonekana mfumo wa Nabi hauwezi maana makambo ni striker asiye na Mambo mengi hajui kukaba, hajui chenga, hajui kukokota mpira ye anataka yupo kwenye nafasi mpira ufike atie kambani hiki KITU nadhan ndicho kinafanya mayele awe ze best maana mayele ana mengi ya kuku offer kuliko makambo. Akazane vinginevyo bye bye.

6. Boxer
Watu wengi sana nyakati hizi wanambeza Sana huyu mwamba lakini huyu dogo akipata timu ikampa nafasi IPO siku tutamkumbuka narudia tutamkumbuka boxer Yuko vizuri Sana kukaba na kushambulia na kupiga mashuti. Natamani kumuona akipata nafasi zaidi ilibidi aende timu nyingne ili watu waone thamani yake wakati mwingine namuonaga ni mzuri kuliko kibwana sema hapati nafasi Tu.

7. Johora
Jamaa ni kipa mzuri nadhan huyu ndiye alitunyima ushindi mnono alipokuja wiki ya mwananchi mwaka Jana kama sikosei anajua Sana huyu jamaa.

NI HAYO TU MENGINE MTAONGEZEA.
karibuni kwa povu na kejeri na matusi hasa Yale mambumbu makolo.
 
kwanini club bingwa hawafanyi vizuri?

Reply tayari
Kutokufanya vema club bingwa ni maandalizi ya yanga Kwa kweli hawakuwa na pre season ya maana ni Kam wachezaji walibebwa na kuwekwa uwanjani Tu.

Lakini wale mashabiki WA Simba na wewe mtambue huu si wakati WA kuwacheka yanga kwamba wametolewa mkumbuke nyie hamjacheza mechi hata moja club bingwa msimu huu nadhan muanze kejeri baada ya kuwatoa wale galaxy kuanzia hiyo tarehe 15.
 
story za wanajangwani huwa zinafurahisha sana.

miaka minne iliyopita: hawakuwa na muunganiko mzuri.

msimu huu: hawakuwa na pre season nzuri!!! teh..teh.

ligi ikiisha halafu wamekosa kikombe utawasikia.
Mbona hata nyinyi tulipo watundika goli moja kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii, visingizio vilikua vingi! Hadi Mugalu wa watu mlimshushia gunia la lawama!

Hayo ni mambo ya kawaida. Huwezi ukashindwa kufanya kitu ulicho kitarajia, halafu ukakosa kisingizio.
 
Umeeleza vizuri sana

Naomba nikuulize.... Unaonaje hili la Farid Musa kucheza kama midfielder?
Maana mi ananivutia sana uchezaji wake wa sasa
 
Farid kucheza midfield labda tukutane na timu mbovu katikati maana Farid NI mzuri kukokota mpira lakini kukaba si mzuri SA haiwezekan UWE na midfielders ambao hawajui kukaba zaidi ya kucheza na mpira Tu utakufa na presha.
 
Kwanini hamkuwa na pre season nzuri ninachojua utopolo atabaki utopolo
Ok kila la Kheri sina muda WA kubishana na wapuuzi wapuuzi pambana na Tim yenu HUKO huu Uzi sjaandika majina yakina kibu wala mugalu Bali wachezaji WA yanga Tu SA sitegemei mshabiki WA Simba aseme vema au akosoe vema wachezaji WA yanga zaidi ya kuandika upuuzi upuuzi.
 
utopolo katika ubora wake yanga na Dullah mbabe wanaongoza kuliaibisha taifa isitoshe kama ulitaka kuizungumzia yanga ungeenda klabuni kwao na sio kuileta hapa kuizungumzia
 
Ok kila la Kheri sina muda WA kubishana na wapuuzi wapuuzi pambana na Tim yenu HUKO huu Uzi sjaandika majina yakina kibu wala mugalu Bali wachezaji WA yanga Tu SA sitegemei mshabiki WA Simba aseme vema au akosoe vema wachezaji WA yanga zaidi ya kuandika upuuzi upuuzi.
Anatafuta mimba eti!
 
Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo:

1. Bryson David
Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa yassin. Anajua kushambulia, anajua kukaba, anajua kupiga cross, kimo kizuri cha mpira. Amemzidi mbali Sana kibwana Hasa kwenye kushambulia, na kupiga cross nadhan wale wanazi WA kibwana mmeliona Hilo bnafsi sjawahi kumkubali Sana kibwana Yule dogo si mzuri WA kufanya mashambulizi na cross na huwa akijaribu kupanda upande wake SKU zote unakuwaga uchochoro Tu. Hivyo benchi linakwenda kumuhusu.

2. Ambundo na Yussuph
Hawa jamaa uchezaji wao ni kama unafanana Sana hata mikimbio Yao yote. Jana niliwaona sioni kama Wana jipya Sana la kumtisha mkongwe kaseke au Yacouba kwenye hizo nafasi za pembeni kumbe huwa tunalalamika bure Tu kuwekwa benchi hawa raia aisee yacouba bado ni mzuri sana kucheza kuliko ambundo na Yussuph.

Jana walikuwa wachoyo Sana kumpa pasi mayele hata akiwa kwenye nafasi wao walikuwa wanabutua ili kutaka kufunga pia pasi zao zilikuwa mkaa Sana.

3. Mayele
Huyu jamaa ni hatari Sana mikimbio yake anafunga Goal hutegemei nadhan ni striker mzuri Sana kuliko makambo kimsingi ni haki yake kuanza first eleven bado namuona kuja kuwa mkombozi wetu WA kucheka na nyavu.

4. Ninja
Huyu jamaa huwa namkubali Sana kuliko mwamnyeto jamaa hakabii macho wala hasindikizi mtu ukimpita basi ni talking ya kuzuia mpira na kisha anainuka anauchukua mbele. Siku zote huwa nasema huyu jamaa akipewa nafasi ni mzuri kuliko akina job na mwamnyeto maana jamaa hata mipira ya juu ni hatari na anaiwin Sana. Tumeshafungwa goal nyng Sana kisa beki ya kukabia macho na kushindwa kuwin mipira ya juu. Anastahili kubaki yanga

4. Bangala na mukoko..

Sina la kusema jamaa wanajua labda uwe na bifu nao Tu.

5. Makambo
Yuko vizuri shida kubwa kwasasa ana stress za kutaka kufanya vizuri Sana ukizngatia mashabiki wanamuamini Sana pia inaonekana mfumo wa Nabi hauwezi maana makambo ni striker asiye na Mambo mengi hajui kukaba, hajui chenga, hajui kukokota mpira ye anataka yupo kwenye nafasi mpira ufike atie kambani hiki KITU nadhan ndicho kinafanya mayele awe ze best maana mayele ana mengi ya kuku offer kuliko makambo. Akazane vinginevyo bye bye.

6. Boxer
Watu wengi sana nyakati hizi wanambeza Sana huyu mwamba lakini huyu dogo akipata timu ikampa nafasi IPO siku tutamkumbuka narudia tutamkumbuka boxer Yuko vizuri Sana kukaba na kushambulia na kupiga mashuti. Natamani kumuona akipata nafasi zaidi ilibidi aende timu nyingne ili watu waone thamani yake wakati mwingine namuonaga ni mzuri kuliko kibwana sema hapati nafasi Tu.

7. Johora
Jamaa ni kipa mzuri nadhan huyu ndiye alitunyima ushindi mnono alipokuja wiki ya mwananchi mwaka Jana kama sikosei anajua Sana huyu jamaa.

NI HAYO TU MENGINE MTAONGEZEA.
karibuni kwa povu na kejeri na matusi hasa Yale mambumbu makolo.

Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo:

1. Bryson David
Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa yassin. Anajua kushambulia, anajua kukaba, anajua kupiga cross, kimo kizuri cha mpira. Amemzidi mbali Sana kibwana Hasa kwenye kushambulia, na kupiga cross nadhan wale wanazi WA kibwana mmeliona Hilo bnafsi sjawahi kumkubali Sana kibwana Yule dogo si mzuri WA kufanya mashambulizi na cross na huwa akijaribu kupanda upande wake SKU zote unakuwaga uchochoro Tu. Hivyo benchi linakwenda kumuhusu.

2. Ambundo na Yussuph
Hawa jamaa uchezaji wao ni kama unafanana Sana hata mikimbio Yao yote. Jana niliwaona sioni kama Wana jipya Sana la kumtisha mkongwe kaseke au Yacouba kwenye hizo nafasi za pembeni kumbe huwa tunalalamika bure Tu kuwekwa benchi hawa raia aisee yacouba bado ni mzuri sana kucheza kuliko ambundo na Yussuph.

Jana walikuwa wachoyo Sana kumpa pasi mayele hata akiwa kwenye nafasi wao walikuwa wanabutua ili kutaka kufunga pia pasi zao zilikuwa mkaa Sana.

3. Mayele
Huyu jamaa ni hatari Sana mikimbio yake anafunga Goal hutegemei nadhan ni striker mzuri Sana kuliko makambo kimsingi ni haki yake kuanza first eleven bado namuona kuja kuwa mkombozi wetu WA kucheka na nyavu.

4. Ninja
Huyu jamaa huwa namkubali Sana kuliko mwamnyeto jamaa hakabii macho wala hasindikizi mtu ukimpita basi ni talking ya kuzuia mpira na kisha anainuka anauchukua mbele. Siku zote huwa nasema huyu jamaa akipewa nafasi ni mzuri kuliko akina job na mwamnyeto maana jamaa hata mipira ya juu ni hatari na anaiwin Sana. Tumeshafungwa goal nyng Sana kisa beki ya kukabia macho na kushindwa kuwin mipira ya juu. Anastahili kubaki yanga

4. Bangala na mukoko..

Sina la kusema jamaa wanajua labda uwe na bifu nao Tu.

5. Makambo
Yuko vizuri shida kubwa kwasasa ana stress za kutaka kufanya vizuri Sana ukizngatia mashabiki wanamuamini Sana pia inaonekana mfumo wa Nabi hauwezi maana makambo ni striker asiye na Mambo mengi hajui kukaba, hajui chenga, hajui kukokota mpira ye anataka yupo kwenye nafasi mpira ufike atie kambani hiki KITU nadhan ndicho kinafanya mayele awe ze best maana mayele ana mengi ya kuku offer kuliko makambo. Akazane vinginevyo bye bye.

6. Boxer
Watu wengi sana nyakati hizi wanambeza Sana huyu mwamba lakini huyu dogo akipata timu ikampa nafasi IPO siku tutamkumbuka narudia tutamkumbuka boxer Yuko vizuri Sana kukaba na kushambulia na kupiga mashuti. Natamani kumuona akipata nafasi zaidi ilibidi aende timu nyingne ili watu waone thamani yake wakati mwingine namuonaga ni mzuri kuliko kibwana sema hapati nafasi Tu.

7. Johora
Jamaa ni kipa mzuri nadhan huyu ndiye alitunyima ushindi mnono alipokuja wiki ya mwananchi mwaka Jana kama sikosei anajua Sana huyu jamaa.

NI HAYO TU MENGINE MTAONGEZEA.
karibuni kwa povu na kejeri na matusi hasa

Umeandika vizuri kiasi kulingana na uelewa wako

Ila hapo kwa job na Mwamnyeto vs Ninja hapana

Ninja ni beki mzur sana ila tatizo lake moja ni papara, anatumia nguvu sana kwenye uchezaji wake kama ukicheza dhid ya washambuliaji hatari na wepes bas tegemea penat muda wowote ule

Pia ninja pasi zake nyingi zinapotea hasa pas ndefu..

Timu inatakiwa kuanza kufanya build up ya mashambulizi kuanzia nyuma sasa ukiwa na beki kaka ninja huwez anzisha mashambulizi tokea nyuma na hapo ndipo JOB anapoingia moja kwa moja kwenye kikosi

Hebu angalia Job na bangala wanavocheza hao ndio aina ya mabeki wa kisasa wanaotakiwa
 
Back
Top Bottom