Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".
Ndugu zangu eid mubarak
Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo.
Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani...
Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti?
Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote?
Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo!
Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui,
Kwanza kusema atatambuliwa...
Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations.
Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya.
Mwamba amesimama muda wote...
Mwaka jana niliandika uzi hapo chini
https://www.jamiiforums.com/threads/nimeishi-na-mwanamke-miaka-mitatu-bila-kupata-mtoto-nifanyaje.2376687/
Japokua msaada sikuupata kutokana na mtu wa hapa jf lakini nawashukuru wote, pamoja na wengine waliochangia kwa masihara.
Ukiwa na jambo lako...
Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco
Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi.
Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali
Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani
Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani?
Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi...
Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan.
Wanaijeria wamempapasa na kumpiga viwili.
cc
Abduli, Mafwele na Muliro.
Jana kuna dada kanipa utumbo, ama hakika ndizi utumbo ladha yake ni tofauti kabisa na ndizi nyama!
Japokua ndizi utumbo bei yake imechangamka kidogo, wataalamu wa mambo wanakwambia utumbo mzuri ni ule ambao haujaoshwa sana.
Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia.
Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa ya wananchi na chanzo kikubwa cha machafuki hayo ya 29
1. Katiba mpya
2. Tume huru ya uchaguzi
3...
Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote.
Ndio maana hata huko USA - Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto.
Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi.
Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni.
Lakini ile...
Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja.
Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao.
Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William...
Ila huyu baba!
===========
"Dunia imeona naWwatanzania wameithibitishia dunia ya kwamba wakiamua kulinda amani wanailinda, wasiotutakia mema jana wameaibika. Watanzania wanapenda amani na hawajazoea mambo ya maandamano na uvunjifu wa amani na wale wote waliokuwa wanataka vurugu leo wamejifungua-...
Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.