Wakuu,
Leo usiku wa manane, kati ya saa 8 na saa 10, tutakuwa na marekebisho kadha wa kadha katika miundombinu yetu yanayoweza kupelekea kusimama kwa baadhi ya huduma (na wakati flani huduma zote kusimama).
Hii ni katika kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuongeza uwezo wa kuhimili...