Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,004
- 1,984
Kuweni makini wakuu.
Nimeanza kuona mauza uza kwenye account yangu ya JF, gafla inanitaka ni log in upya kuingiza details zangu.
Isije ikiwa watu wa mfumo wanafanya surveillance.
Nchi isha chachuka hii.