jamii

  1. J

    Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
  2. Mwanaume ndio chanzo cha kuharibika jamii, mwanamke ni matokeo tu hivyo asilaumiwe

    Wanaume wenzangu. Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje. Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye...
  3. M

    Hello, JamiiForums✋🏾

    Hello! Habari zenu mm ni mwanachama mpyaaa katika hii blog,naomba ushirikianoo
  4. S

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Mmezuia Twitter huku na nyie mnaitumia kufikisha ujumbe wenu kwa jamii

    Hawa mabwana mpaka sasa wameubana mtandao wa Twitter, ila cha ajabu wao wenyewe ni watumiaji wazuri wa huu mtandao kitu ambacho kinatushangaza sana. Kama twitter ina watumiaji mnaowaona ni hatari au hawafai, kwanini basi na nyinyi mnaendelea kuutumia huo mtandao baada ya kuubana?Tuwaelewje au...
  5. Rais Magufuli alivyosaidia jamii kufanya biashara halali; kesi za kulizwa zimepotea, wajuba wanahaha wasiondoke mjini

    WanaJF. Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na viongozi wanaoishikiria serikali. Mwanzo tunaowajua hawa wafanyabiashara tuliogopa sana kwamba wanaweza...
  6. E

    Niwaombe Watanzania "yeyote anayepita jamii za kimataifa kutuombea njaa" tumuone ni mhaini

    Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa yangu binafsi. Nilivyokuwa mdogo niliwaza sana kufanya kazi katika taasisi kubwa za nchi hii kwa maana...
  7. Afrika Kusini: Jamii Forums yasifiwa kufanya kazi kwa weledi

    Mail & Guardian moja kati ya gazeti linalopigania usawa na uhuru wa kujieleza katika nchi za Kiafrika limeandika kuwa Uandishi wa Habari unapoteza maana yake kwa kuwa waandishi wa habari wana Uanaharakati na urazini katika uandishi wao. Wameandika kuwa ni vyombo vichache ambavyo hufanya kazi...
  8. F

    Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Wana jamvi niwasalimu kwanza, na moja kwa moja niende kwenye mada. Asubuhi ya leo nimepokea taarifa toka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko Dar akitaka kufahamu kwa nini mbwa jamii ya Rottwieler hugeuka na kushambulia wamiliki na kufikia kuwaua. Hii ni kutokana na ukweli kwamba usiku wa kuamkia leo...
  9. Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yatembelea Ofisi za Jamii Forums

    Kamati ya Maudhui ya TCRA ikiongozwa na Makamu Menyekiti wake, Ndugu Joseph Mapunda, imetembelea ofisi za Jamii Forums ikiwa na lengo la kujifunza mambo kadha wa kadha kuhusu Taasisi na kujionea namna huduma inavyotolewa kwa wananchi. Kamati hiyo ilipokelewa na watendaji wa Jamii Forums...
  10. JamiiForums na Doris Foundation waungana kumpambania mtoto njiti (+picha)

    Taasisi ya Kiraia ya JamiiForums pamoja na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wameingia mkataba wa makubaliano wa kupeleka ujumbe sahihi kwa wananchi kuhusiana na watoto wanaoizaliwa kabla ya wakati (njiti). Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi na Mhasisi wa Doris Mollel Foundation Doris...
  11. J

    Kuelekea Siku ya Mtoto Njiti Duniani: JamiiForums na Doris Mollel Foundation waingia makubaliano

    Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao. Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
  12. Mwanaume akifanya haya hadharani inaleta picha gani kwenye jamii?

    1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana... 2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu... Mfano angalia...
  13. Magufuli kuwa Rais wa kwanza Tanzania utawala wake chuki kutawala katika jamii?

    Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa! Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
  14. GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  15. Asubuhi njema na Jamii forum (JF)

    Je unajua kua ukiamka ukakunja na kutandika kitanda chako vyema inakupa 98% ya kukuonyesha mafanikio yako kwa siku hiyo Je unajua kua... 1. Unaweza acha kuvuta sigara na vingine mda wowote unaotaka 2. Unaweza start exercising wherever you want 3. Unaweza kutembelea jiji lolote duniani unalo...
  16. "Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kupendelea jamii fulani kimaendeleo" LISSU

    "Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa...
  17. N

    Mambo ya Jinsi na Jinsia Yanavyotazamwa Katika Jamii ni Makosa

    Mambo ya jinsi na jinsia tangu kale yamekuwa mambo ya tafiti nyingi. Kwa karne nyingi mambo ya jinsi na jinsia hayakuwa yanaeleweka wazi. Kuna mitazamo mbalimbali katika jamii kuhusu mambo ya jinsi na jinsia. Katika jamii nyingi mambo ya jinsi na jinsia yanadhaniwa kama mambo yaliyobuniwa na...
  18. Hayati Mwl. Nyerere alikuwa mpinzani dhidi ya Wakoloni. Kuwa mpinzani siyo lazima uwe na lengo baya kwa jamii

    Nimesikiliza sera mbalimbali za vyama vyetu kuelekea uchaguzi Mkuu 2020. Kuna watu wanaaminishwa huku vijijini kuwa ukichagua mpinzani kutatokea vita. Pia nimesikia baadhi ya redio na Tvs na kauli hata za viongozi wa juu kutoa mifano kama ya Rwanda, Libya, Misri nk kuwa ndiyo picha ya matokeo...
  19. Viongozi mfikirie kumbukumbu (legacy) mtakayoaichia jamii baada ya madaraka na vifo vyenu

    Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu wake mpaka mwisho wa madaraka yake. Kwa exposure ya Nyerere, aliweza kuangalia Cuba Fidel Castro...
  20. Usisubiri mzazi akuombe ndio umpe, sio busara

    Wakuu kuwasaidia wazazi wetu tusisubiri simu ya haloo baba tunashida huku,alafu wewe ndo unatuma alfu kumi,sio busara. Ukipata chochote tuma japo 10% ya ulichopata sio mpaka wakuombe,nao watu wale wanaonaga jau kuomba kila mara. Usisubiri upate laki ndo utume alfu 30, wewe umepata kidogo tuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…