jamii

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Ofisa Ustawi wa Jamii jela miaka 30 kwa ubakaji

    Muhtasari: Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi amesema mahakamani hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo. Habari Kamili: Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Ofisa Ustawi wa Jamii, Frank Mabuga kwenda jela...
  2. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC atafungwa leo, rasmi najitoa Jamiiforums na mods wanifungie

    Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali. Mechi tuliocheza kule Tunisia tuliocheza vizuri japo hatuktengeneza nafasi za magoli. Na wapinzani wetu walitumia mipira...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanangu anaogopa sana wafu

    Mwanangu wa kike anaogopa sana wafu. Hufikia mpaka kuwalazimisha marafiki zake nao waogope wafu. Huyu Binti huwatishia kuwanyima peremende ikiwa rafiki zake hawataogopa mfu. Kuna mfu Mmoja mashuhuri sana. Kila tulianza kumzungumzia basi Binti huyu kukimbilia kubadili mada au kwenda kwa jirani...
  4. JamiiForums Tanzania Ishi na jamii tofauti ujue jinsi ya kuishi na watu vizuri. Vifo vitazidi kuongezeka Afrika Kusini sababu tunapeleka ushamba wetu kwao

    Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale. 👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa. Uku...
  5. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mbeya Afunga Ndanto Polisi Jamii Super Cup, 2023

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga, Machi 12, 2023 Wilayani Rungwe amefunga mashindano ya mpira wa miguu yaliyojulikana kwa jina la Polisi Jamii Super Cup 2023. Akifunga mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 8 kutoka vijiji viwili vya Ntokela na Nzunda vilivyopo Kata ya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo

    Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi. Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu. Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena. Asanteni.
  8. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Diamond Jubilee ni utafunaji wa Bajeti inayotakiwa kwenda kuboresha huduma za jamii

    Muda huu tarehe 10 Machi 2023, ninamuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makala akiongoza shughuli ya kumpongeza mama Samia kutimiza miaka 2 ya uongozi wake madarakani. Kumpongeza Rais kwa kutimiza miaka miwili madarakani ni jambo la kumpongeza lakini ni muhimu sana kuzingatia usahihi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi 5 za Afrika zaweka mkakati wa kutoa mafunzo na kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri Wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa ajili ya kuimarisha Huduma za Afya ya Msingi. Haya...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto kuasiliwa na Jamii tofauti na asili yake

    Nilisoma kisa cha dada mmoja anaitwa Jane, kilichapishwa gazetini wiki mbili zilizopita. Jane ni mchanganyiko wa damu nyeupe na nyeusi. Baba yake ni Mzulu na mama ni mzaliwa wa Uingereza. Mama yake Jane alikutana na raia wa Afrika Kusini miaka ya mwisho wa 60 na mwanzoni mwa 70. Huyu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CCM msijifanye nunda kupuuza Jamii Forum, Chadema wanabamba sana.

    ZAMA zimebadilika sana. Siasa za majukwaani zipo lakini ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii nayo ina nafasi kubwa sana Kwa sasa. Na si kila mtandao unafaa kufikisha ujumbe. Jamii Forum ni jukwaa muhimu mno kufanya siasa kutoa hoja na kujibu hoja maana JF kuna wajinga wachache tofauti na...
  12. JamiiForums Tanzania Miili yenye afya kwenye jamii za wafugaji

    Habari zenu watu wa humu. Moja kwa moja niende kwenye mada nisiwachoshe na salaam. Katika pitapita zangu na kuzunguka baadhi ya mikoa hapa Tanzania, nimegundua jamii za wafugaji Kama wamasai, wakurya, wasandawe, wasukuma nk.., wana asili ya urefu tena wana afya Sanaa tofauti na jamii za wakulima...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Masoud Kipanya hapewi PhD ya heshima? Napendekeza apewe Udaktari wa sayansi ya jamii. Hii katuni imebeba uhalisia wa jamii yote ya Watanzania

    Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku. Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo sio CCM bali jamii nzima ya mtu mweusi

    Historia ni nini? - Historia ni somo lihusulo mambo/matukio yaliyopita[ kale ], yaliyopo na yajayo. Kabla hatujawatupia mizigo yote ya lawama Chama cha Mapinduzi [CCM] kwa huu umasikini wa taifa hili, tuji ulize maswali haya kwanza. Maswali 1. Kwanini mtu mweusi duniani kote ana dharaulika...
  15. JamiiForums Tanzania JamiiForums members nakuchana

    Wakuu lengo la kuanzisha uzi huu ni kwaajili ya kuwachana member wa jamii forum,si kwa ubaya tu bali hata kwa mazuri,,, najua hili jukwaa ni chuo tosha,kwani tunakutana watu kaliba mbalimbali,watu wamekua katika makuzi tofauti tofauti,kuna wazee, vijana hadi kuna watoto humu, hivyo kila mada...
  16. JamiiForums Tanzania Wasafi media, kipindi cha masham sham kinafundisha nini kwenye jamii?

    Kwa wafuatiliaji wa Wasafi fm/ kuna kipindi kinaongozwa na Didah Shahibu/Juma Lokole na idriss... hivi serikali/mamlaka uwaga wanafuatilia hizi project za vipindi au kisa media kulipa kodi. Moja kati ya vitu vinavyopotosha na kuaribu ni vipindi vya TV na radio tunaomba kipindi hicho kifuatiliwe...
  17. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na alichokisema Kamishina wa Polisi Jamii Tanzania dhidi ya Wahaya na Mkoa wao wa Kagera ( Bukoba )

    "Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

    Wanabodi, Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri. Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
  19. JamiiForums Tanzania Sijawahi kushinda mechi kwa mngoni, mmakonde na mhaya. Mara zote naambulia droo...

    Hello mambo aje? Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana mashambulizi makali kama ya watani zangu Yanga SC dhidi ya TP Mazembe. Sio style moja yaani style...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni Jamiiforums

    Jamii ina watu tofauti tofauti, kukiwa na matabaka, kipato, elimu na mtindo wa maisha hutofautiana. Kuna wenye ushawishi kam Mshana Watu wajuaji na wabishi kama kiranga Wenye degree za maisha kama Analyze Wapo wasomi wa ngazi na taalum tofauti Pia kuna matajiri kam akina kidukuliko Wapenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…