jamii

  1. JamiiForums Tanzania Bosi TRA anavyoitafuna nchi

    Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwa vijana na kutambua nafasi yao katika jamii

    Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii, ilihali wengi wao wakiwa ni wasomi wa elimu ya juu Mfano wa nafasi hizo ni Siasa Utunzaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Maumivu ya mwanamke kusalitiwa: Hana wa kumtetea, jamii inaona ni haki yake

    Maumivu ya mwanamke anaposalitiwa yanaweza kuwa na athari kubwa sana kihisia. Hali hii inaweza kusababisha machungu na kuumiza moyo. Kila mwanamke anaweza kuhisi maumivu tofauti na kuonesha hisia tofauti kulingana na uzoefu wake binafsi na mazingira ya kijamii. Mbaya zaidi mwanamke amezungukwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

    Habari yenu wana jamii, naomba kupewa ushauri, nina bajeti ya 500k je ni TV gani nzuri ya brand ipi na ukubwa upi itanifaa kwa bajeti hii? Kwani siku hizi brand zimekuwa nyingi sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mashindikanaa ni watu wa namna gani haswa kwenye jamii?

    Nimesikia watu wakiita wengine hivi, maana yake nini? ili mtu aitwe mashindikanaa anatakiwa awe na sifa zipi?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo gani katika jamii yetu ya leo?

    Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi kwasababu kwake ku-kiss ni kitu kikubwa sana na anasubiri hadi aingie kwenye mahusiano ya kueleweka...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia, Utawala Bora na Uwajibikaji katika kuleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla

    Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA) UTANGULIZI Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo mawili ya kujenga Jamii Bora

    Jamii,ni jumla ya watu wote wanaoishi katika mazingira Fulani ya kijiografia ambao wanaweza kufanana au kutofautiana katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na kiteknolojia. Kujenga maana yake kutengeneza kitu ambacho kina faida na kutumika kipindi fulani Cha maisha mfano nyumba. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kata ya Serengeti mabingwa wa Mashindano ya Kyela Polisi Jamii Cup 2023

    Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali iliyozikutanisha timu za Kata ya Ipinda dhidi ya Kata ya Serengeti. Mashindano hayo yalihusisha Kata 33...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

    Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla. Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vyama visivyo na wajibu kwa jamii ni vya nini?

    Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao. Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa kula kujua au kutafuta wapi pana malalamiko na kuyafanyia kazi vilivyo. Kudai katiba mpya ni...
  12. JamiiForums Tanzania Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

    Hello! Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi. Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania kuhusu ndoa zibadilishwe kulingana na mabadiliko ya Utamaduni na jamii

    Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili. Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania hii yote hakuna fundi simu wala compyuta!

    Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi. Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine? Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
  16. JamiiForums Tanzania Jamii tusiwasakame wanawake ambao hawajaolewa na wako single

    Mimi binafsi yangu siwez wasakama wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa naamin kwa fikra na hisia zao hawajapata mwanaume ambaye sio bora tusiwasakame na kuwachukulia kama ni wakosaji wakubwa sana Wengi wao ni victim wa hisia yaan wale ambao hawana hisia nao ndo wanaume wakufanya nao...
  17. JamiiForums Tanzania Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
  18. JamiiForums Tanzania Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

    Habari wapendwa, Leo napenda tuzungumzie hili suala la ulevi na athari zake na jinsi linavyoumiza familia na jamii kwa ujumla. Wapendwa ulevi ni tabia mbaya ambayo mtu hujijengea taratibu akizani ya kua yupo sawa kumbe anajimaliza siku hadi siku. Kwa mfano ulevi wa pombe tuache bangi na sigara...
  20. JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…