jamii

  1. M

    PostGE2025 Jinsi Viongozi wa Kiislamu Wanavyopaswa Kutatua Migogoro ya Jamii

    Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an na Sunnah. Chini ni kanuni kuu na mifano halisi: 1. Kusikiliza Pande Zote Bila Upendeleo (العدل)...
  2. Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  3. Sauti ya kweli: Somo ya Sheikh Ponda kwa Jamii yetu leo

    Mimi sio Muislamu, lakini kauli yako wewe Sheik Ponda, ile iliyonukuliwa na vyombo vya habari leo hapa : https://www.youtube.com/live/kGULHq2MJVQ?si=6mc8j4GhNwZT6X3E imenigusa kwa kina. Kuna nyakati chache katika maisha ambapo mtu anasimama na kusema jambo ambalo linavuka mipaka ya imani...
  4. Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  5. Hivi wana JamiiForums mliandamana huko mitaani kweli?

    Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja. Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook. Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au...
  6. Ufunuo Kwa Jamii

    Katika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo. Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao. Gafra akatokea nyoka wa rangi ya... kitu kama njano au kijani hivi akawagongo(ng'ata) wale vinyonga, kutokana na sumu ya...
  7. "Wakati Shetani anaamua kuharibu jamii, huanza na wanawake.”

    Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa ujenzi au uharibifu? Je, maneno hayo ya mchungaji ni onyo au lawama? Alikuwa akionya juu ya nguvu...
  8. M

    Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

    Oktoba 2025 haitafutika kwenye historia ya Tanzania
  9. GE2025 Mchungaji: Wasanii wa sasa wamekuwa vyoo vya jamii na sio vioo vya jamii

    Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake Soma pia: Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?
  10. Prof. Jay: Nang'atuka nishaikosea jamii

    Leo nimejikuta naukumbuka huu wimbo Yeah Napiga goti natubu Kwa mungu wangu na jamii Nimefanya mambo mengi Kwa kutumia cheo Naamini cheo dhamana Nisamehe nisamehe Nang'atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii Mwenyeenzi kumbuka na nafsi hii Napiga goti natubu daima...
  11. Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua. 2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako...
  12. Maafisa biashara, maendeleo ya jamii na maendeleo ya vijana wana kazi gani?

    Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini maafisa hawa si ndio inabidi wafikirie namna ya kuongeza fursa ili vijana wabaki kwenye maeneo yao. Je...
  13. M

    Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  14. Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90 Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi https://youtu.be/YLRFPaPTlOA Hatutanyamaza Britanicca
  15. Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  16. Bei ya Tiketi Katika Mchezo wa Ngao ya Jamii

    Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC. Tiketi za mzunguko zitauzwa kwa shilingi elfu 5, VIP C shilingi elfu 20, VIP B elfu...
  17. JamiiCheck inapaswa kufanya utafiti kama kuna ukweli ama kuficha ukweli?

    JamiiCheck ilianzishwa kama jukwaa la kijamii linalowezesha wananchi kuwasilisha taarifa zinazowatia mashaka kwa lengo la kupata msaada wa uthibitishaji. Kupitia huduma hii, wataalamu na wachambuzi wa habari huchunguza vyanzo, kulinganisha ushahidi, na kutoa majibu sahihi kwa wananchi. Hatua...
  18. CCM Msitufanye Shamba la Bibi: JamiiForums Sio Mali Yenu, Ni Uhuru Wetu wa Kikatiba

    Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu mnavyoamuru? Jamii Forums siyo mali ya mtu binafsi, ni jukwaa la wananchi. Ni platform ya maoni, freedom...
  19. Habari za huko TANZANIA, kufungiwa Kwa Jamiiforums ni ishara ya ushindi wa umma

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
  20. JamiiForums kufungiwa mimi nimehusika, tuheshimiane

    Ilikuwa Jumatano siku za nyuma hivi mawiki kadhaa, niliamka masikini nikiwa na furaha TU vizuri, ndo nilipopata wazo la kutoa Uzi kubadilishana mawazo, katika hali isio tegemewa ghafla mambo yalienda tofauti, nilipolomoshewa matusi ya nguoni hadi wazazi wangu walitukanwa kwa makosa wasio yajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…