Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

Joined
Apr 4, 2024
Posts
77
Reaction score
277
Bila kupoteza muda
Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba
Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo
Mpk sasahivi viongozi bado wanahaha namna ya kugeuza kipigo
Nawathibishia Leo Simba anashinda
Ewee shabiki wa Mnyama nenda na matokeo mfukoni huku tushamaliza kazi
Naaam Mimi ndo Mwamba kutoka Tanga hapa
 
Yanga 4-1 Simba
 
Back
Top Bottom