Habari zenu,
Wengine shikamoon.
Si ujanja,wala usistaduu, kwenye kuishi na watu,bali unyenyekevu kama tunavyofundishwa kwenye nyumba za ibada unaweza kutuweka katika mazingira bora na kuwa na jamii makini.
Kwamfano nimechunguzaaa nimegundua wachamungu wengi Wana heshima kwenye jamii kuliko...