Wakuu au ni mimi tu ndio nimechelewa kujua
Mbona usiku huu ghafla nashangaa naipata Jamii Forums bila VPN
Wameiachia huru lini aisee. Inawezekana nilikuwa najisumbua siku nyingi kufungua Jamii Forums kwa VPN kila muda
Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote.
namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE
Natanguliza shukrani.
Wakuu samahani kama swali langu linaonekana la kitoto kidogo, mimi ni new member hapa hivyo bado najifunza mila na desturi za huku.
kuna kitu kimoja kimenichanganya kidogo.
Kila mtu anaandika,
“Naomba kuwasilisha hoja jukwaani…”
au
“Nimeleta mada hii jukwaani…”
"karibu jukwaani..." nk
...
Wakuu,
Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi...
Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe...
Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana...
PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU WAANDISHI WA HABARI NA VYAMA VYENU VYA TAALUMA.
JF ilishamaliza the so called adhabu ya kukiuka maudhui kama walibyodai wao ingawa JF alikopi alichokuwa amekipost huyo mwizi wa Zimbabwe.
Pamoja na kuwa adhabu hiyo ilikuwa batili, JF...
Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado.
Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna...
Adhabu walioitoa TCRA ilikuwa inaisha tarehe 9 disemba.
Sasa kwa nini wanawanyima Watanzania uhuru wa kujadili na kupeana habari juu ya mustakabali wa taifa lao?
Kwa nini TCRA wanakiuka na kuikanyaga ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Naomba msaada wa Tls ili...
11/12/2025 when i was sleeping during midnight
I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road.
One servant of God said
“She is in the process to have death“
Pray for Tanzania 🇹🇿
Proverbs 14:34
"Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika
JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.
Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au...
Nimeshangaa kusikia wasiojulikana wanamtishia maisha mmiliki wa jukwaa la JamiiForums.
Huko nyuma Mama aliwahi kusikika hadharani kuwa huwa akisoma maoni ya watu JamiiForums anabaki kucheka tu.
Akasifia kuwa sasa hivi habari nyingi zinapatikana kupitia JamiiForums kuliko hata magazeti na...
Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90
Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi
https://youtu.be/YLRFPaPTlOA
Hatutanyamaza
Britanicca
Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?
Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo.
Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana...
TAARIFA YA IGTWG KUHUSU KUSITISHWA KWA JAMII FORUMS NA TCRA: WITO WA MAZUNGUMZO NA ULINZI WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
Kikundi cha Uongozi wa Mtandao Tanzania (IGTWG) chenye zaidi ya asasi 25 za kiraia kimepokea kwa wasiwasi mkubwa uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wa kusitisha...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada
Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru
Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia
CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii
Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa.
Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili.
Ni wazi Simba...
Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano.
Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
Chadema tunalaani kwa nguvu zote tukio la uvamizi uliofanywa leo tarehe 05 Septemba 2025 katika ofisi za Jamii Forums, zilizopo Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, na watu walioidai kuwa wanatoka katika mamlaka za usalama. Tukio hili linaashiria kukandamizwa kwa uhuru wa habari, kuminya uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.