jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

    Salaam wakuu. Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo; "Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake" Hali ni tofauti...
  2. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

    Game On Dakika ya 23. Dodoma Jiji 0 - 0 Azam
  3. JamiiForums Tanzania Mwaisa nimerejea sasa, baada ya kuwa uhamishoni kwa muda. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari ndugu wanaJF Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama. Natuma salamu kwa wafiatao sky eclat faiza fox kichwa kichafu mpwayungu mshana Jr To yeye wa stendi na wote wanaosoma Uzi huuu......... UJUMBE TUKUMBUKANE KUPITIA JAMIIFOFUM
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

    Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Inaelezwa kwamba tukio hilo limetokea katika Mji wa Kislovodsk, Kusini mwa Urusi...
  5. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma, Tanzania. Kwa heshima kubwa, ninaleta pendekezo langu kuhusu njia mpya ya kushughulikia changamoto ya uhaba wa mafuta na uhaba wa dola nchini. Tatizo hili litaathiri uchumi wetu na maisha ya wananchi wetu kwa muda mrefu, na naamini pendekezo...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  7. JamiiForums Tanzania TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani. Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake? Au ni bomu limetegwa?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hebu tukitafakari kiapo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Mimi .............. naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nitalinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyowekwa kisheria. Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie. Mimi ................ naapa nitatenda kazi zangu za Urais wa Jamhuri ya Tanzania kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nani ni mlinzi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Habari wanajamvi? Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja ya msingi. Kwa muda sasa KATIBA YA JMT imekuwa ikivunjwa na wana Siasa kadiri wanavyo penda bila kujali viapo vyao. Swali ninalo jiuliza ni kwamba ni nani hasa ni mlizi wa KATIBA yetu? Binafsi nimeshuhudia Rais Magufuli akivunja KATIBA mara...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani?

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
  12. JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: Waziri Mkuu atapeliwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania na Meya wa Jiji la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto wanatajwa wanatajwa kuwa miongoni mwa viongozi waliojikuta wakitapeliwa bila kufahamu; JAMHURI linarpoti. Utapeli huo ulifanyika wakati wa maandalizi ya Sikukuu ya Eid al-Adha inavosherehekewa na Waislamu kote duniani...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ataka Mabadiliko ya Katiba yanayompa nafasi ya kugombea tena

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania Urais kwa kipindi cha 3. Kupitia hotuba yake kwa Taifa, Rais Touadera ameeleza kuwa tayari...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

    Habari... mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
  15. JamiiForums Tanzania Mjadala kujikumbusha kuhusu mabadiliko ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (uliofanyika May 13, 2023)

    Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapata leseni kufanya biashara Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

    Kinshasa DRC 2 Mei 2023 – Benki Kuu ya Congo (BCC) imeipatia leseni ya kufungua kampuni tanzu nchini humo Benki ya CRDB. Leseni hiyo imekabidhiwa leo katika mkutano maalum kati ya BCC na ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa Kundi, Fredrick Nshekanabo. Akikabidhi leseni...
  17. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Hali ya Usalama Nchini Sudan

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina wasiwasi mkubwa juu ya hali mbaya ya usalama inayoendelea nchini Sudan, kutokana na mapigano yaliyozuka katika mji mkuu wa Khartoum na maeneo mengine tangu tarehe 15 Aprili 2023, kati ya Majeshi ya Sudan na kikosi cha Usaidizi wa Haraka cha...
  19. JamiiForums Tanzania Jamhuri Kihwelo (Julio) apata timu DSM

    Timu ya Manispaa ya Kinondoni imetangaza kuvunja Benchi lake la Ufundi kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake na kumtangaza Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' kuchukua mikoba ya Thiery Hitimana. ''Bodi ya timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC) baada ya kukaa kikao mapema leo asubuhi imeamua...
  20. JamiiForums Tanzania Sisi Wananchi halali wa Tanzania, tunatuma Ujumbe na Maombi yetu kwako Rais Samia

    Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku. Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania wenzangu ukiwepo na wewe raisi wetu na Mtanzania namba moja, "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?" (Kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…