jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Nchimbi inaashiria kitu kimoja tu; kuna jambo zito na baya Ikulu ambalo sisi huku nje hatujalifahamu!

    https://www.jamiiforums.com/threads/nchimbi-awaomba-viongozi-wa-dini-kumwombea-rais-samia-dhidi-ya-watu-wabaya.2418471/ Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi alipohudhuria mkutano wa CPCT jana tarehe 7/2/2026. Ujumbe wa hotuba hii unasisitiza mambo kadhaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hili jambo nimejikuta limeniuma sana

    Habari za Jumapili zinaendaje wakuu, natumaini wengine mpo kanisani, basi Jana bwana Yas Tanzania walikuwa wanatimiza Mwaka mmoja Toka watambulishe jina jipya basi bwana wakawa wana zawadi zao kutoka kwao kuwapa sisi wateja wao. ‎ ‎Kuna challenge wakasema Kuna maswali ya kujibu kwa usahihi watu...
  3. JamiiForums Tanzania Hili jambo la huyu bwana Epstein linafanana na la P Diddy

    Faili za Epstein zinaibua kumbukumbu ya 'nyakati za uchungu mwingi katika ndoa yangu' - Melinda Gates Chanzo cha picha,AFP via Getty Images Bilionea Melinda French Gates amesema mumewe wa zamani, mwanzilishi mwenza wa Microsoft Bill Gates, aliyetajwa katika faili mpya zinazohusiana na marehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Jambo la kawaida watu mnaofahamiana kukuchukia unapofanikiwa. Usiwalaumu.

    NI JAMBO LA KAWAIDA WATU MNAOFAHAMIANA KUKUCHUKIA UNAPOFANIKIWA. USIWALAUMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mafanikio yapo ya aina nyingi Sana. Yapo mafanikio ya kiuchumi, kimahusiano, kisiasa, kimitandao ya kijamii n.k 2. Ni MTU asiye na uelewe pekee ambaye atataka mafanikio alafu...
  5. JamiiForums Tanzania Unapopanga Jambo lako la sherehe punguza matarajio

    Unapopanga jambo lako mfano haruc , birthday au sherehe yeyote ile tambua ya kwamba ratiba yako wewe sio sawa na ya mtu mwengine . Usichukie mtu kwasababu hajatokea kwenye jambo lako hauwezi jua ratiba yake / hali yake ikoje , punguza matarajio ya kwamba fulani atakuwepo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  7. JamiiForums Tanzania Nilisema wapinzani hawa wa kudandia kila jambo hawataingia Ikulu mpaka Yesu atarudi. Washahamishia majeshi kwenye dhahabu

    Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu. Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu. . Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani. .Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi. .Hawajui kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Uhalifu wa nchi nyingi zilizoharibikiwa Duniani umeanzia kwenye Mitandao ya Kijamii

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia. Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacque

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacqueline Dunkley-Bent, wakati wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba ni Masuper Woman kwenye mitandao wakitaka jambo lao wanakuwa Wanyenyekevu kwelikweli

    Kama umeshawahi kuchakata hawa superwoman utanielewa nachomanisha. Hawa wanawake wenye akili nyingi, mali, wafanyabiashara, wazuri wa umbo na sura ambao ndio vinara wa kuhimiza Mwanamke kuwezeshwa na kupewa nguvu na hadhi wana mbinu sana. Kwenye mitandao atakwambia hata sharti la mume wake...
  12. JamiiForums Tanzania Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  13. JamiiForums Tanzania MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀.

    MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀. MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani aliyemdanganya Mtu pale ‎bustanini? ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya mwanadamu. Mungu...
  14. JamiiForums Tanzania Wapinzani hawa ambao sera yao kubwa ni kudandia kila jambo linalotokea wakiingia Ikulu naacha kazi

    Nenda mtaani uliza ni chama gani kikubwa cha upinzani Tanzania utajibiwa ni CHADEMA. Uliza tena ni ipi sera yao kubwa kwa sasa, huwezi kupata jibu. Unfortunately hata ukiuliza kwa member na viongozi wa CHADEMA kuwa sera kubwa ya chama chenu ni nini hawana majibu. Wiki iliyopita Trump...
  15. JamiiForums Tanzania Hili jambo linawezekanaje? Mhusika ameogopa sana anahitaji msaada

  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

    Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Aliewahi kumuona Mwambukusi wa TLS akiwa frontline kwa jambo lolote lile anijuze, Tofauti na kule Facebook na X

    Kuna siku nilimuuliza akanipiha Block, Mwambukusi ana bweka tu kwenye socia media ila hutakaa umuone Mahakamani au kokote kule, Maraisi wemgine wa TLS walio tangulia tulikiwa tunawaona Mahakani pia, ila MWambukusi ni tofauti anaongea sana mnoa ila mulete kwemye vitendo. Wakili kama Kibatala ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanganyika nawaomba tujadili kwa undani hili jambo la maridhiano

    Tukijadili kwa kina na kwa mapana yake.. Pengine wahusika wanaweza kuamka usingini na kuelewa LAKINI kabla ya yote Polepole aliwahi kutuasa tusikubali MARIDHIANO YOYOTE baada ya uchaguzi mkuu wa 29 October 2025 Sasa wachambuzi wenye weledi na ufahamu mpana wanaweza kuja hapa na kutuchambulia...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…